SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula) header
SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula) profile picture

Ukweli Hauzimwi.|Ukombozi umekaribia| Sema Nchi ni Yetu Sote|Sema kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Joined August 2025
Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)Photo by SAUTI ISIYOZIMWA. (@gipagula)
SAUTI ISIYOZIMWA. retweeted
Hofu ya watawala juu ya Gwajima inaweza wakati mwingine kueleweka. Gwajima hajawahi kufanya mkutano popote nchi hii usishone watu. Nimekuwekea picha tatu za kibabe ambazo CCM hawana mpaka kesho. Watu wanaosombwa na bodaboda, treni, mabasi na maroli bado hawajai kabisa mkutanoni. Picha za kuibia. Gwajima akiitisha mkutano leo palepale walikozindulia hapatatosha. Enewei! Nasikia mgombea ameahidi kwamba atahakikisha watoto wanajua kusoma na kuandika na kuhesabu wafikapo darasa la tatu馃槀馃槀馃槀. #SisiTutaongea
9
30
3
90
3,597
Kosa kubwa lilipoanzia ni kuanzisha maridhiano na wahuni, wahuni ni watu wabaya sana, wanaweza kuchekea kumbe wanalia mioyoni, na wapo tayari kwa lolote, na hawaogopi wala kuona aibu. #Kataawahuni
19
76
2
403
12,817
TUNAANZA KUHESABU MASAA CHUMA KITAWASHA MOTO.@jgwajima @ClubMagufuli @DiraTaifa @HecheJohn @HildaNewton21 @MariaSTsehai
1
27