healthylife retweeted
Maisha bwana hii tweet imemfikia HR, amenitumia screenshot bila caption anasema ameitoa kwenye group lao la Wamama.
Kinachouma simu hapokei! 😂💔
Wakuu mambo ya mitandaoni yaishie humu.
healthylife retweeted
Jifunze kujitegemea ata kama unasaidiwa kiasi gani, kuna siku utayakumbuka makosa uliyoyafanya
healthylife retweeted
Kwenye harakat za hapa na pale kuna mambo mawili nimejifunza
Kwanza hakuna mtu ambae hapendi pesa, that's why baadhi ya sehemu ili usaidike chapu lazima uingize mkono mfukon
I'have my mentor,siku moja nilikaa nae sehemu kwa mazungumzo kidogo ofcourse nilikuwa nahitaji advice
healthylife retweeted
Kile unachokifanya leo ndicho kinaweza kudetamine maisha yako ya kesho yaweje, either kuwa nzuri kiasi,nzuri zaidi au kuwa mabaya
Kulikuwa na ule msemo wazazi wetu au wakubwa zetu hupenda sana kusema " Kua uyaone"
healthylife retweeted
Walikuwa na malengo mengi
Walikuwa na ndoto kubwa
Walikuwa na mawazo & fikra chanya juu ya taifa lao
Tutazidi kuwakumbuka ndugu zetu....
healthylife retweeted
The best protection is early detection
#breastcancerawareness 👍
healthylife retweeted
The Government of Nigeria has acted swiftly following the detection of an Ebola case, taking measures to protect the public and prevent further spread.
WHO is working closely with the health authorities to strengthen all aspects of the response.
healthylife retweeted
Early detection and swift action are crucial to stopping #Ebola.
WHO continues to work with the Government of Kenya to support the response and strengthen preparedness across the region.
Read more 👇🏿
healthylife retweeted
A pair of spectacles or timely cataract surgery can change the course of a person’s life. Yet millions across Africa still live with vision loss that could be prevented or treated.
This #WorldSightDay, I urge Member States and partners to accelerate implementation of #SPECS2030, a WHO initiative to expand access to spectacles. We must also strengthen eye care through primary health care and invest in the workforce needed to reach underserved communities.
Let us ensure that preventable vision loss no longer limits education, livelihoods and independence.
afro.who.int/regional-direct…
healthylife retweeted
Mshahara ni kama kidonge ambacho mtu hupewa ili kupunguza maumivu,
Mshahara pekee inakusaidia kusahau ndoto zako
" Mtu alietajirika au kuwa na mafanikio kupitia mshahara huyo ni mwizi"
● ili uwe na mafanikio ni lazima uwe na chanzo kingine cha mapato
healthylife retweeted
OVERUSE/ MISUSING OF DRUGS
💊 Antibiotics are losing their effectiveness because of overuse and misuse. Antimicrobial resistance is a threat to humans, animals, plants and the environment.
💪🏽 We need to prevent antimicrobial resistance together. Learn how to do your part here,
healthylife retweeted
Hivi Unajua Msongo Wa Mawazo ni Moja ya Vitu vinanyoweza kumpelekea Mtu Kuwa na Shinikizo la (Damu High Blood Pressure)?
Stress =>Umri Mdogo=>High Blood Pressure
Hivi Unafikiri ni vitu gani haswa zinaweza kupelekea Vijana Wengi kuwa Msongo Wa Mawazo?
Follow Afya Yangu, turn on 🔔
healthylife retweeted
Tambua Faida za Kunyonyesha mtoto Wako ndani ya 6 bila kumpatia vyakula vingine tofauti na Dawa ya Hospitalin ulioshauriwa na mtaalam wa Afya
Labda Nikudokeze tyu kwamba MAZIWA YA MAMA NI DAWA KWA MTOTO WAKO,
Maziw ya mam yanakuw na virutubisho mbali×2 Muhimu Kwa Afya ya mtt
BINTI: Jitambue Ukizaa Wewe Ni Mmama.
Mnyonyeshe mwanao, Maziwa yako pekee, ndani ya miezi 6 pasipo mpatia hata tone la maji.
Kubaliana na matokeo ya mabadiliko ya mwili wako, Umeumbwa ivyo ili mtoto afaidi kifua chako, nasio mpuuzi mweingie.
Epuka kumpatia mtoto artificial milk, Nihatari kwa afya ya mtoto wako.
KUMBUKA: Kunyonyesha kunachelewesha kupata ujauzito wa mapemaa mara baada ya kujifungua.
Tumia njia hiyo kama uzazi wa mpango (EBF) Nufaika na njia hiyo ya asili pindi utakapo jifungua. ASANTE SANA 🙏
healthylife retweeted
Mwenye Kiu anajitahidi kutafut Namna gani anaweza kupate Ma Water,
Sasa Mr. Health ametupa Uzi🧵📌📌 Mkali kichiz ni Wewe tyu Ushindwe Kujiongeza😁
TESTOSTERONE: Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume, kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa.
Ni homoni muhimu katika afya ya mwanaume ambayo husaidia kuimarisha Nguvu za kiume, na Misuli yako kiutendaji.
》Imarisha utendaji kwazi wa homoni ya testosterone mwilini kwa kuzingatia yafuatayo.
Kula vyakula vyenye zinc kama pweza, Mayai, karanga, korosho, maziwa, mbegu za mboga, vitunguu swaumu, Tende na Tikiti maji.
Fanya mazoezi ya Kegel walau kutwa mara Mbili kila siku kwa muda wa nususaa, Kunywa maji mengi
NB: Kadiri umri unavyoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa homoni ya testosterone hupungua, Na kutokana na mtindo wa maisha ulivyo badilika.
healthylife retweeted
Zingatia Aina 5 ya makundi ya vyakula, angalau Kila unapo pata Mlo wa mchana au Jioni hakikisha unazipata & cio kushindia aina Moja tyu mlo
1. Carbohydrates
2. Protein
3. Fat
4. Vitamins
5. Water
Unaweza ukajiuliza je hivi vyote ninawez nikavipata kwenye vyakula gani ?
Fearless.
healthylife retweeted
Taja Faida 5 za #KONDOMU Kama Njia Ya Uzazi Wa Mpango ....






















