Muslim.. (Salafy)

sumbawanga
Joined June 2011
Sio poa... Kwani kunanini?
DUH, kuuziwa UOGA hatari sana, nimeongea na jamaa walioko DAR wanasema ULINZI uliowekwa usiku huu ni kama nchi iko VITANI! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1
56
Daaah watu aise
This is the news waliambia Vincent kompany akacollapse.
39
Mtu kapangiwa waislam watu mkiristo peke yake.. Na kiarabu watakijua mwaka huu 😂😂😂
Yanga hilo group hatoboi 😂😂😂
109
mKigoma ⚓ retweeted
– at Dar es Salaam, Tanzania
1
3
90
Mpaka kibada wametujazia Polisi safi ulinzi umeimarika...
1
954
Hiyo ni KIBRI, ambacho ni Maradhi ya Moyo hatari mno kwa Wanadamu & Majini, Humpelekea Mtu kutokupenda kabisa Haki na mwisho wa Kibri ni Fedheha & Kukutanana na Ghadhabu za 'Allāh Jālla Jalâluhū'.
Wakistaafu wanatunga vitabu juu ya maisha yao na kukiri Wakifanya makosa fulani wakiwa kwa hatam. Ila wakati wapo kwa HATAM wakiambiwa hili sio sawa wapo radhi kukupoteza/kuua. Why tusubiri kukiri na kuomba msamaha kwa kuandika vitabu ilihali tunaweza rekebisha.
1
2
36
🤖 Made with AI
1
1
4
110
Wakistaafu wanatunga vitabu juu ya maisha yao na kukiri Wakifanya makosa fulani wakiwa kwa hatam. Ila wakati wapo kwa HATAM wakiambiwa hili sio sawa wapo radhi kukupoteza/kuua. Why tusubiri kukiri na kuomba msamaha kwa kuandika vitabu ilihali tunaweza rekebisha.
1
2
1
6
171
– at Nyali, Kenya
3
7
127
mKigoma ⚓ retweeted
[Elimu Ya Dini Ni Lazima Kusoma] Anasema Shaykh 'Abdul'Azizi bin 'Abdillah bin Baaz رحمه الله: "Elimu Ziko Za Aina Mbili, 1. Elimu Ya Dini 2. Elimu Ya Kidunia, Na Elimu Ya Dini Ni Wajibu Kwa Kila Aliyekalifishwa Na Sheria Kuwa Ni Mwenye Kujifunza Yale Aliyomuwajibishia Allahﷻ, Na Yale Ambayo Allah Kamuharamishia, Na Yale Ambayo Haifai Yeye Kuwa Mjinga Kwayo Kama Ambavyo Wamelisema Hilo Wanachuoni, Jambo La Wajibu Kwa Kila Aliyetenzwa Nguvu Na Sheria Katika Wanawake Na Wanaume Ajifunze Yale Ambayo Allah Kamuwajibishia Na Awe Ni Mwenye Kutafta Ufahamu Katika Dini Yake, Ayafahamu Yale Ambayo Allah Kumuwajibishia Katika Swala Na Mengineyo, Mpka Ayafahamu Yale Ambayo Kamuharamishia Allah Katika Ushirkina Na Mengineyo, Na Mpka Amwabudu Mola Wake Kwa Uoni [Elimu] [فتاوى نور على الدرب (٢٥/٩)]
5
1
15
493
#Muislam ogopa sana dhulma/kumdhulumu mtu kitu/mali/Pumzi na mfano wake Allah ameikataza na utalipa hiyo dhulma siku ya hesabu. Dalili ni Qur'an [Ghaafir: 18 na Al-Hajj: 71] Hadith 👇
3
10
281
Unahoja usikilizwe
Wewe umemaliza chuo 2015 hadi sasa unabeba mikoba ya wanasiasa unawinda teuzi, ajira huna...kutwa uko busy na vikaunda suti vya mita 1 kwa 2000/= ujue wewe huna akili...tafuta kazi wewe ujenge familia....umri unakwenda....wengine mabinti mnatumika...shauri zenu
106
FURSA YA AJIRA Kampuni ya #MZADARecruitmentAgency ambayo ni wakala wa ajira mwenye leseni namBA 041/2026, tunahitaji wanawake/wasichana wa kufanya kazi za ndani (Maids) nchini Oman. SIFA:- 1. Mwenye umri baina ya miaka 20-35 2. Mwenye afya njema 3. Anayejua kusoma na kuandika. 4. Mwenye hati ya kusafiria na mzoefu anapewa kipaumbele. Kwa muhitaji, tuma taarifa zako kupitia whatsapp namba +255 753 594 683
2
2
192
😂😂😂 Tukutane nao mapema tulipe zile 8..
🚨 Michael Carrick: “We will be very different team against Bournemouth”. “I definitely trust my players, 100% sure. We have to be a different team on Sunday”.
77
Mimba imekataa migebuka naona.. Jaribu kula kuhe Basi..
Migebuka wanaihype bure hamna kitu bora ya Sato au sangara 😏
1
91
Pemba au? 😂😂
Wakenya wanasemaga "ni kubaya"😁
1
128
Rahisi sana ongea na watu wa Mlilo wape 1M kaa pembeni show inaisha mapema sana.. Issue ya simu 100k wanakusaka mpaka wanakupata.. Sema dua ya aliyedhulumiwa inapokelewa haraka...
Fainal,,, mlisema yule Mama mstaarabu kwa jinsi anavyoongea lakini ndio hivyo tena kaingia tamaa japo nilimuambia achukue 1mil anitumie iliyobaki…
159
114+1
Tell me how this wasn't a penalty? Man Cheaty.
134