Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Tulio wengi ili tuweze kusitisha/ kuacha kabisa matumizi ya kitu/ vitu vyenye madhara ambayo hayatokei ndani ya muda mfupi ni hadi tuone kuwa idadi ya waathirika/ wahanga wa kitu hicho wamekuwa wengi sana.
#TunachezeaMtajiTuliopewaBureNaMungu
Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Juzi nimeshuhudia ile accident ya Iringa,kuna namna moyo ulivunjika.
Benie retweeted
Neno “banki” limetoholewa kutoka kwa neno la Kiingereza “bank”. Kwa mantiki hiyo, si ajabu kuona baadhi ya watu wakipendelea kutumia “Banki Kuu” badala ya “Benki Kuu” wakiamini linafanana zaidi na neno la asili.
Lugha huendelea kubadilika na kukopa maneno kutoka lugha nyingine. Ndiyo maana mjadala huu una nafasi yake. Mimi binafsi naona “Banki Kuu” linafuata kwa karibu zaidi asili ya neno la Kiingereza kuliko “Benki Kuu”.
Benie retweeted
Replying to @mfugakuku_ @iambenjaminor
Uongo!
Kwa watumiaji wa British English, kama Tanzania.
Tunapaswa kutumia 'banki' kwa sababu RP ya uingereza inatamaka 'bank' kama 'bank'na si 'benk'.
Hiyo yako ni pronunciation kwenye American English.
Kwa hata 'and' inatamkwa kama 'end'.
Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Maneno yaliyochukuliwa kutoka lugha za kigeni huwa yanahamishiwa kwenye Kiswahili kulingana na YANAVYOTAMKWA kwenye lugha yalimotoka.
Kwa ufafanuzi huo, neno "Benki" ndilo neno fasaha na sanifu.
Benie retweeted
Ila AZAM TV wanastahili pongezi aisee imagine watu wanaonesha WORLD CUP kwa lugha mbili kingereza na kiswahili na kote kuna studio yake na bado wanaonesha NBC kwa studio nyingine, hawa jamaa wako mwaka wa mbele aisee.
Benie retweeted
Tsh 56,800/=
Zimeshafika BONGO ☑️
🛑 WhatsApp 0719068333
Delivery 📦 ☑️
#gshock #gshockwatch #gshocklover
Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Hizo ndio zinapuliza mtaa mzima kusiwe na jotro... Kama ushawahi kusikia mtu anapunga upepo, ujue pembeni yake Hilo feni linazunguka































