Pinned Tweet
Kwenye maisha lolote linaweza kukutokea, unaweza kupata usilolitarajia na unaweza kukosa ulilolitarajia.🤒
Kikubwa Imani.
Hiyo video ya mzee wa Kisomali akizungumzia kinachoendelea huko Arusha mmeiona au mnadhan kaongea tu kutafuta followers!?🤔
Hili sio la kuchukulia poa🤒🤒😒
1
112
Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Tulio wengi ili tuweze kusitisha/ kuacha kabisa matumizi ya kitu/ vitu vyenye madhara ambayo hayatokei ndani ya muda mfupi ni hadi tuone kuwa idadi ya waathirika/ wahanga wa kitu hicho wamekuwa wengi sana.
#TunachezeaMtajiTuliopewaBureNaMungu
Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake,
kuliko mpumbavu katika upumbavu wake..✍️
Mithali 17:12
1
1
104
Hivi mmeshawahi kujiuliza kwanini Wachina wanapenda kutembea na mafurushi ya hela cash?🤔🤔
Hawa jamaa huwa wako mbele ya muda aisee🙌












