fake friend retweeted
Qilin Cement
Made in Kigoma
Western Tanzania
...
When did you know that Kigoma has started producing its own Cement? The Tanzanian media needs to do a better job
fake friend retweeted
Wazazi wetu zamani tulipokuwa wadogo walikuwa wanatukataza kula kwatu, hawakuwa na nia mbaya tusile kwa majirani bali logic ya chakula ni pana sana,
Ukiwa mtu mzima unagundua sio kila chakula mpishi anandaa kwaajili ya kila mtu.
Hii ni kama third year diploma anavyomuona first year bach 😃
Replying to @Iam_Malunguja
Shida inakuja hapa MD anamuona CO hanashule, CO mwenyeji anamuona MD mpya Hajui kitu, Bado sijagusa kwneye Specializations ndio Balaa sasa
1
49
fake friend retweeted
Haijalishi Unapitia Magumu Kiasi Gani Usijaribu Kujiua , Kuwa Mpole Ipo Siku Utakufa Tu 👊🙏
fake friend retweeted
Replying to @__sheriii
Cheti cha kuzaliwa kiwe kina data za wazazi wote, barua ya M.kiti/mtendaji vyote visomane na NIDA uikienda mbali ni taarifa zako zinasomana.
Muda wa kukaza ndio huu fanya profiling kali sanaa kiasi siku wakianza kukaza kuwe hakuna mtu wa kuruka.
fake friend retweeted
Yeah, sex is great, but have you ever passed that one subject which nearly ruined your life 🥹....
fake friend retweeted
Pamoja na kuwa tunamkosea mkali wa MBINGU na NCHI lakini tukiwa na mda tuwe tunamuomba atuepushe na aibu ndogo ndogo..!🙏🏻
Jana usiku Boda kapata ajali na kuvunjika mguu (paja)😭
Kufika hospital ‘madokita’ wanachana jeans tunakuta mwamba kafunga ‘KILEMBA’ 🙌🏻🙌🏻😂😂
fake friend retweeted
Behind every stupid woman, there’s another stupid woman encouraging her to be stupid.





















