Ngumoha serious mnataka ushindi? Tia gakpo lw barcola rw
Predicted lineup for the Arsenal game tomorrow.
- Personally, I don’t see Iraola starting Nyoni over Gravenberch. I think he’ll still be managing his minutes.
- The other debate is Rio or Gakpo. Gakpo has the most experience, but Ngumoha is arguably in the better form at the moment.
What are your thoughts? 🔴
Mada za dini bana napendaga kusikiliza midahalo ya ndacha na mazinge watu wanajua na wanachekesha kila mtu mwamba ngoma na wote wako sahihi 🤣.
Ata ile fort tie mlishinda lakini mpira tuliubonda.
Video imevuja kocha wa Liverpool anafokewa na maboss kwa ushindi mwembamba tulio upata dhidi ya Brighton epl, kasema samahani arsenal watalipia.
Kuna uwezekano mkubwa fallacy kudate kile kibibi Kizee kuliko Wirtz kufunga goal 3 against arsenal as matter of fact Allison anaprobability kubwa ya kufunga hizo goal tatu mbele ya wirtz.
MKUKI MOYONI retweeted
Kama tutaondoka na points 3 pale uwanja wa maspika ,basi rasmi naanza kuchukua vipimo vya suti ya kusherekea ubingwa wa EPL
Maana wapinzani wangu ni Chelsea na Brighton 🤣
Shamcheaty wanasubiri muda wowote akatwe points 40-50
Huu msimu huenda nikatangaza ubingwa mwezi March.


























