Citizen (@kkimacho) profile picture

Activists,Arsenal fan, Adventurers, father, humanitarian

Kempton Park, South Africa
Joined August 2013
Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)Photo by Citizen (@kkimacho)
🙄 Samia Suluhu’s convoy Absolutely ridiculous considering that she is running practically unopposed Hii ni kufuru! Ila acha wa-enjoy while they can #TutaelewanaTu
81
154
31
774
119,725
Mnaendelea kuchukulia mambo haya kama mzaha. Hamuelewi hatari mnayoizua. Ninahofia sana pale ambapo msingi wa utu na kujali utakapoanza kubadilishwa kuwa visasi, kwa sababu huo ndio utakuwa mwanzo wa maangamizi ya taifa. Tukifika hapo, hakuna mtu, wala mtoto wa mtu yeyote, atakayebaki salama. Epukeni huu upumbavu kwa kuwa ni hatari mno. Maneno haya tunayatoa kwa uchungu mkubwa. Tambueni wazi , sisi si kondoo. Tunajali, tunafikiria. Ikiwa maisha yetu na vifo vyetu vinaweza kuwa kienyeji namna hii, mnadhani tutabaki kufikiria hatua gani ? Acheni , Acheni , Acheni.
21
110
1
614
41,063
Ila waliharibu kwa kuhujumu na kujizolea mapesa hao sio uharibifu? Mbona hamuwakamati?
WATATU WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA MABASI YA MWENDOKASI, WENGINE WASAKWA HUKU CHANZO KIKICHUNGUZWA
11
52
1
260
12,064
😭🙏🏽 Nimelia kwa furaha na kwa huzuni pamoja‼️ Watanzania we are so special! People singing religious hymns on a crowded bus ❤️ while encouraging each other! Such solidarity and love! Yaani mtu amepanda basi baada ya kusubiri masaa anapambana kufika nyumbani au kazini, maisha magumu lakini bado anapata muda kumtukuza Mungu 🙏🏽 Ila maombi yetu yameambatana na vitendo kwa hiyo Mungu lazima atasimama 🙌🏽 Ndo maana safari hii watanzania hawana hofu tena! Tumemtanguliza Mungu ktk yote Huu mwezi hatutakaa kuusahau katika historia #WenyeNchiWananchi #Oktoba29Tunatoka #TutaelewanaTu
66
285
14
1,115
64,804
https://teapawt.net/t.co/I10zmX9Vp6 Mdude 🙏🏽 Mungu akubariki na kukulinda popote ulipo!
11
179
660
11,715
DAAA ILA MUNGU ANAJUA KUJIBU MAOMBI. ONA WANAVYO TUSAIDIA KILE KIPANDE CHA #NoElection Hadi raha. Piteni hadi vijijini huko, ili No election ifanyike kistaarabu. 🤣🤣🤣
5
17
70
975
Uoga dhambi 29 October
41
245
1
1,329
34,795
Ogopa matapeli 29.10.2025 Hakuna uchaguzi Kuna MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO
17
232
2
609
8,875
"#Tanzania is sliding into electoral authoritarianism – a system where polls are held, but within a manipulated process where the ruling party retains power through state control, patronage, violence, intimidation and manipulation of electoral systems." african.business/2025/09/pol…
17
159
4
594
23,539
MAANDAMANO YA KITAIFA,,, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 OCTOBER 29.2025. Tuikomboe nchi yetu,tukishindwa mwaka huu...basi sisi ni watumwa wa watu filani wachache Ewe kijana amka.... Follow 👉 @IkindaKani11826 #CHADEMA_NI_IMANI ❤️ TUTAKUWEPO🫵🫵🫵
3
26
1
94
1,877
I can’t believe this is happening in Tanzania
Wakiwaambia mama yao ana utu waonyesheni hii picha!! Chaula 😭😭😭😭 Imagine wanampoteza mtu kama Chaula wanasema kazi na utu, utu gani ng’ombe nyinyi?
4
40
2
332
17,657
2
20
3
113
11,484
Imagine Spika wa Bunge @TuliaAckson sio Mlipa KODI, USHURU wala TOZO.
43
123
5
945
56,000
We ain’t buying Girishoni’s nonsense 🚮
Tanzania inasema ripoti iliyotolewa na HRW sio sahihi na ni ya kupotosha huku ikikanusha pia taarifa za kutekwa kwa raia nchini humo. bbc.in/3KwjFI0
14
57
447
19,925
Sijaiona bango hata Moja la wanaoitwa wapinzani kwenye haya mabango ya biashara barabarani, hawana bajeti au wenye mabango wanaogopa?
48
52
6
1,118
34,813
Masikini wenye sare wakitumiwa kuwatisha masikini wenzao ili watawala dhalimu waendelee kula na kusaza bila usumbufu. Hawa hawana uhakika wa afya zao, hawana uhakika wa akiba zao, wala elimu za watoto wao. Watawala wana yote hayo na ziada kubwa. Nawasilisha. Dr. Chris Cyrilo.
71
196
13
764
19,190
Uchaguzi Tanzania 2025: "Kampeni za mwaka huu hazina mvuto" bbc.in/4mOaCiS
41
81
16
646
32,196
Mh @kitilam unasemaje juu ya kauli yako hii ya kweli?
82
205
3
1,234
31,900
Kadri unavyoshupaza shingo ndivyo kadri tutakavyokufikia na kukushughulikia nchi hii hakuna raia wa kawaida hata m1 anaekutaka zaidi ya genge lako la waovu wenzio na machawa wako unaowatumia kuwahonga kodi zetu ili kukunusuru na hasira wa wananchi!
3
11
203