Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason) header
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason) profile picture

In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...

Tanganyika |A-Town |Sokoni one
Joined December 2011
Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)Photo by Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason)
Takataka hii
I am going to request Mzee that we take Besigye back to Luzira. Afande Saleh has tried his best with that criminal. We should put him back in his cell and try him.
49
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
ni kwa maslahi mapana ya taifa kwamba lazima turidhiane, tujenge umoja wa kitaifa, na tuelewane. lakini lazima mchakato uongozwe na dhamira ya dhati, na waliopo madarakani wadhihirishe kwa uwazi nia hiyo. 🎥: @adaboe_12:
2
11
63
978
Takataka hao
Replying to @mackphason
Acha tu mkuu yani wako seliaz kabisa
30
Africa
KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI MSUMBIJI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MASHTAKA YA UGAIDI Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji, Venâncio Mondlane, amefikishwa mahakamani leo Jumanne, Novemba 17, 2026, katika Mahakama ya Juu jijini Maputo, akikabiliwa na mashtaka matano yanayohusishwa na maandamano yaliyofuatia uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2024. Mashtaka hayo yanajumuisha uchochezi wa vitendo vya ugaidi, kuhamasisha wananchi kutotii mamlaka kwa pamoja pamoja na kuchochea vitendo vya uhalifu. Iwapo atapatikana na hatia katika mashtaka yanayohusiana na ugaidi, Mondlane mwenye umri wa miaka 52 anaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 24 jela. Mondlane, ambaye ni kiongozi wa chama cha Anamola, alishika nafasi ya pili nyuma ya Rais Daniel Chapo katika uchaguzi wa mwaka 2024, ambao waangalizi wa kimataifa waliripoti kuwapo kwa dosari. Matokeo ya uchaguzi huo yalizua maandamano yaliyodumu kwa miezi kadhaa, huku mamia ya watu wakiripotiwa kuuawa, kwa mujibu wa mashirika ya kiraia. Kabla ya kuanza kwa kesi hiyo, Mondlane amezishutumu mamlaka kwa kutumia mashtaka hayo kama njia ya kuwanyamazisha wapinzani wa kisiasa. “Ujumbe unaotolewa ni kwamba mnapaswa kukaa kimya. Mnapaswa kuendelea kuwa mateka, gerezani, gizani,” amesema Mondlane kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye Facebook, Jumatatu. Ulinzi umeimarishwa katika eneo la Mahakama ya Juu jijini Maputo, huku mashahidi 36 wakitarajiwa kutoa ushahidi katika kesi hiyo. Bado haijafahamika kesi hiyo itachukua muda gani kukamilika.
25
Ujinga huu ndo maana wauaji wanatutawala
Amakweli maisha ni kipaumbele unakuta mtaani kwake maji hayatoki hana uwezo wa kulipa kodi ajira hakuna amedhurumiwa kiwanja ila hajawai kupaza sauti kwa nchi ili apate haki ila kwa simba ameweza hii nchi😅😅🚮
2
1
1
94
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Museven anamcheka Samia kwa kuua wapinzani wake Japo yeye anafanya kimkakati Alichosema hapa ndicho anafanya Samia kwa 100% Watu wanaomkosoa Samia wanatekwa, wanauwawa au kufukuzwa kazi
6
21
117
6,790
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
MaCCM mlitueleza kwamba mmechaguliwa na watu milioni 31.9 sawa na 97.66% ya kura zote zilizopigwa, na 87% ya wapiga kura milioni 37.6 waliojiandikisha walijitokeza kupiga kura. Hii ni zaidi ya ½ ya raia wote. Sasa, nini lengo la maridhiano na kundi lililobaki la watu milioni 29, ambalo sehemu kubwa ni watoto wasio na sifa za kupiga kura, wakati tayari mnayo ridhaa ya wengi? Halafu, hivyo vyama vya mfukoni mlivyokutana navyo vilishiriki huo uchaguzi, vikakubali matokeo, vikashiriki sherehe za kuapishwa kwa mshindi, na kuthibitisha kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki kuwahi kutokea. Mnaridhiana na nani wakati mlichaguliwa kwa kishindo? Je, maridhiano hayo yanalenga kutatua mgogoro upi uliopo kati yenu?
9
58
232
5,529
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Mtangazaji alikuwa anatikisa tuu kichwa. Repost 200
14
302
3
1,405
35,911
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Kuna code kaitoa RECHO DANGWA! Inaitwa kulishwa Microphone, ikiwa na maana mauji wa kutumia vifaa vya mawasiliano vilivyowekewa sumu kali sana! Wanatumika waandishi(afisa vificho) kukualika mahojiano maalumu au yale ya papo kwa papo. utakufa kwa BP, mshtuko wa moyo!
1
24
154
4,992
Ngogwe Tanganyika wamebaki njia kuu au wabatuchora?
55
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
shida iko hapa!
6
67
1
266
6,736
Washauri walioua watanganyika October 29
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
5
107
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Izi TAKATAKA za mboga mboga ukiona wanavyo washambulia hawa wanaowaita agent of CIA( of which ni upuuzi) , unashangaa huku wachina wanatesa wananchi wao uko field kama mbwa na wapo kimya.
1
4
120
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Hata kama wakikutana na kugawana posho ukweli utabaki: 1. Baraza hilo la vyama ni kibaraka wa CCM na watawala. 2. Vyama hivyo vilihongwa kushiriki uchaguzi na kutangaza ulikuwa huru na haki. 3. Havina uungwaji mkono ndani ya jamii. 4. Upinzani upo ktk mioyo ya watu.
24
1
83
3,068
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Sometimes I wish wanachama wa CCM wangeonyesha uzalendo kwa nchi yetu kwa kiwango kile wanachoonyesha kwa chama chao. Perhaps Tanzania tusingekuwa hapa tulipo leo. Ila Majamaa wanapenda chama chao kuliko nchi yao💔
8
11
3
77
1,894
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Ila GENZ sijui akili anatoa wapi 😆
1
40
380
5,344
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Fundi TANESCO Katika Maridhiano ya vyama briefcase..Hawa ndo walikua kitengo cha kukata umeme MO29
16
66
3
428
25,332
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Cristiano Ronaldo throwing up a Roman numeral sign means one thing: the countdown to 1,000 goals is ON 😤⚽️ The GOAT is just 1⃣5⃣ strikes away from becoming the first footballer to reach the 𝙝𝙞𝙨𝙩𝙤𝙧𝙞𝙘 𝙢𝙞𝙡𝙚𝙨𝙩𝙤𝙣𝙚 🐐
54
581
13
8,190
82,386
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Tanzania ina wananchi wengi ila kila takwimu tuko chini Sababu ni moja tu Jamii kubwa ya Tanzania haizungumzi kiingereza
Kila nchi ina uraibu wake. Tanzania na Uganda ni kamali ila majirani Kenya kama kawaida yao wameamua kuwa tofauti.
10
5
2
15
1,389