MASUBA retweeted
Kashauwawa! Hamjifunzi
Saa nane
Azory Gwanda
Polepole
Mdude
Hao wote walishauwawa kitambo
Tu focus jinsi ya kuzuia mauaji ya wengine
Today marks one month since Twaha Mwaipaya was abducted in Machakos, Kenya.
Twaha Mwaipaya is still missing.
Where is Twaha Mwaipaya @DCI_Kenya @NPSOfficial_KE @SuluhuSamia ?
Bring back Twaha!
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
MASUBA retweeted
Karibu Tupate Fursa nyingi Hapa Ulaya especially
Norway , Sweden, Bulgaria, Italy na Netherlands
1. Kazi
2. Shule
3. Matembezi
4. Projects
5. Dini
6. Utafiti
7. Michezo
Hakuna gharama isipokuwa utapata information Zote Telegram
t.me/+n3YgAdNgz-kyMzNl
MASUBA retweeted
Haitians are going through a lot in Dominica Republic. Everyday, they face severe harassment and immigration threats. Haiti and it’s people deserves better. If Peter Obi wins in 2027, Nigeria will be intervening to restore normalcy in Haiti and a lot of professionals and artisans will be sent there from Nigeria for work.
MASUBA retweeted
It seems you don't know much about football, Gaucho started playing at a very high level from 1997 and finished at a high level in Italy in 2010, almost 13 years.
On va nous écrire des histoires et inepties mais nous, on a vécu Ronaldinho
C’est quelqu’un qui ne mérite pas l image qu’il a aujourd hui, parce que c’est l un des pires exemples, si ce n’est le pire pour la jeunesse dans ce sport. Aucun jeune footballeur ne devrait rêver d être Ronaldinho. Il a eu un prime qui a duré 2 saisons, avec une seule saison magique en 2005. Il faisait de belles choses avec le ballon, mais ça s arrête là.
Il n’est pas top 20 des meilleurs footballeurs de l histoire en tenant compte des carrières + impacts.
MASUBA retweeted
Tatizo la nchi yetu ni Usalama wa Taifa. Wameharibu kila kitu. Kama kuna watu wanatakiwa kubebeshwa lawama kubwa na hata laana za vizazi vyetu ni wanaojiita Usalama wa Taifa.
Watu wanalaumu Polisi kuhujumu umma lakini Polisi wanatumika tu kiasi kidogo sana na kwa wakati maalum na katika mambo yanayoonekana.
Uhusika na lawama kwa Polisi ni wa level moja sawa na Mahakama na Bunge zinavyotumika kuhujumu umma kwa nyakati maalum na kwa mambo fulani fulani. Hili halikubaliki, lakini waharibifu WAKUBWA sana wa Taifa letu ni hawa wanaojiita Usalama wa Taifa.
Hiki kikundi kilichobandikwa jina la Usalama wa Taifa ni janga kubwa kwa nchi yetu.
Mchakato unaoendelea wa kuchuja watu wa CCM, Usalama wa Taifa ndio wanafanyia kazi. Eti wao ndio wanahusika pia kuchuja majina ya wanachama wa Chama cha Siasa. Je hapa ni Usalama wa Taifa au ni Usalama wa Chama? Bado wanalipwa na kodi za Watanzania wote.
Mgogoro unaondelea ndani ya CCM, usalama wa Taifa wanahusika na wanahujumu wengine ndani ya CCM. Afadhali basi wangekuwa wanafanya hivyo kwa ajili ya kulinda Usalama wa Nchi, hapana. Wanafanya hivyo kwa maslahi na mtawala.
Hujuma kwa vyama vya Upinzani zote zinazofanyika, kuanzia watu kuumizwa, makesi mahakamani na mambo mengine ya giza ya kutisha, yote kikundi kinachoitwa eti cha Usalama wa Taifa kinahusika.
Taasisi ambayo ndio inatakiwa kujitenga na siasa na kusimamia mifumo iheshimiwe ili kulinda usalama wa nchi, ndio wamekuwa wanasiasa kuliko wanasiasa wenyewe na chanzo kikubwa na mpasuko na migogoro kwenye Utaifa wetu.
Wanaotoa maelekezo ndani ya Tume ya Uchaguzi, ndani ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, ni kikundi hiki kinachoitwa Usalama wa Taifa. Na sio kwamba kuna tishio (threat) la usalama wa nchi, hapana, wao ndio wanagawana hela na kuweka magawanyiko. Kama kuna watu wanaharibu hili taifa ni Usalama wa Taifa.
Wazee wakizungumza kushauri, wanafuatwa mara moja na kutishiwa na hao hao wanaotakiwa kulinda Usalama wa Taifa letu.
Usalama wa Taifa unapanda propaganda za Kidini, za kikabila, ili waonekana na watawala wanafanya kazi. Sasa hapa wanakuwa Usalama wa Taifa au Tishio kwa Taifa?
Usalama wa Taifa ungetakiwa ulinde Umoja wa Kitaifa, washauri sawa sawa hata pale wengine watakapokuwa wanaangalia maslahi binafsi au kuwa na muono finyu wa taifa katika kutenda.
Vikundi vyote vinavyolaumiwa kwa ufisadi, uharamia, na viongozi wahuni, wanalindwa na Usalama na wana mwingiliano mkubwa na watu wa Usalama wa Taifa.
Kinachoitwa ni Usalama wa Taifa ni Usalama wa Rais, au ni Usalama wa CCM, au ni Usalama wa Taifa?
Hawa jamaa wamefeli viwango mpaka vimeshapita ardhi tunayokanyaga. Highly Below standards when it comes to national security. Ni aibu kubwa sana kwa Taasisi iliyokuwa na heshima hivyo kufikia hali hii.
Jeshi la Wananchi PEKEE ndio taasisi iliyobaki ya Serikali ambayo haijachafuka na kujichafua sana. Wasije kuingia kwenye huo mtego pamoja na vifaa vya kazi vingi walivyonunuliwa mwaka huu. Hili tunajivunia kuitwa JESHI LA WANANCHI!
Ila hao wanaojiita Usalama wa TAIFA, wanatakiwa kujihoji kuhusu UTAIFA wao. Wameweka TAIFA na UTAIFA mbali sana na matendo yao. Wanatakiwa wanadilishe jina! Wajitafutie jina lingine. Hawafanyi kazi ya TAIFA, au waitwe TISHIO LA TAIFA?
Jitafakarini ndani!
MASUBA retweeted
We Mtoto wewe 😁 maswali haya ya kina Stephen Hawking !! Haya Iko hivi
Hili ndio swali ambalo hata wanasayansi wakubwa kama Stephen Hawking walikuwa wanajikuna kichwa nalo 😅
Jibu lake linategemea unatazama kwa mtazamo gani
1. Jibu la Sayansi ya kawaida
Wanasayansi wengi wanasema swali kabla ya Big Bang kulikuwa na nini?
halina maana sana. Kwa nini?
Kwa sababu Big Bang haikuumba tu vitu iliunda pia muda (time) na nafasi (space) yenyewe.
Ni kama kuuliza kaskazini mwa Ncha ya Kaskazini kuna nini? Hakuna kaskazini zaidi ya hapo, kwa sababu hapo ndipo kaskazini inaishia.
Hivyo, hakukuwa na kabla kwa sababu muda wenyewe ulianza hapo.
2. Jibu la Hawking
Hawking alisema kabla ya Big Bang, muda ulikuwa kama upande mwingine wa nafasi tu. Hakukuwa na mwanzo wala mwisho ulio na mipaka. Kama Dunia haina ukingo, hivi ndivyo ulimwengu ulivyo hauna kabla
3. Jibu la wengine Hakuna kitu sio tupu kabisa
Kwenye fizikia ya uwepo vitu kea Idadi yan quantum, hakuna kitu sio tupu kabisa. Ni kama bahari tulivu ambayo kila mara kuna mawimbi madogo madogo yanayotokea na kupotea yanaitwa quantum fluctuations.
Wanasayansi wengine wanadhani Big Bang inaweza kuwa ni moja ya hayo mawimbi yaliyokua na kuwa Universe yetu.
4. Nadharia nyingine
Wengine wanasema Universe yetu inaweza kuwa inajirudia inapanuka, inajikunja, inapasuka tena, inapanuka tena. Kama kupumua. Kwa hiyo "kabla" ya hii Big Bang, kulikuwa na Universe nyingine iliyokufa.
Kwa kifupi, swali lako ni sahihi sana:
Kama kulikuwa na hakuna kitu, hicho hakuna kitu chenyewe kilikuwa kitu gani?
Hapo ndipo sayansi inapoishia na falsafa inapoanza.
OBYAMEGE KUNU LYATOBELA 😁😁
VIDEO:
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, ametoa onyo kuhusu kile alichokiita kuongezeka kwa uchungu na chuki na changamoto nchini, akieleza kuwa hali hiyo inaharibu msingi wa taifa na kutishia ustawi wa kizazi kijacho.
Lema amebainisha hayo leo alipokuwa akizungumza mkoani Singida katika msiba wa Mzee Alute Mughwai Lissu, ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Lema ameeleza kuwa nchi kwa sasa inakabiliwa na uchungu mkubwa unaojidhihirisha wazi hata kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengina yanayowakutanisha watu kutokana sababu mbalimbali ikiwano namna mfumo wa vyombo vya haki unavyofanya kazi na kueleza kuwa ukiukwaji wa misingi ya sheria unaacha majeraha makubwa miongoni mwa wananchi.
“Hatari kubwa inayokabili nchi hii sasa kwa kiwango kikubwa sana ni pale unapoweza kupelekwa mahakamani kwa kosa la wizi wa gari halafu ukafungwa kwa kosa la kubaka. Mahakama yetu imefika hapo. Sasa kuna uchungu na hofu kwenye jamii," amesema Lema.
MASUBA retweeted
sitaki mahakama itende 'haki.' nataka itafsiri sheria sawasawa. ikifanya hivyo tundu lissu tutakuwa naye kesho uraiani. hakuna ushahidi umewasilishwa mahakamani unaoweza kumtia hatiani. sheria ina vitu vitatu: law, facts, na procedures. zote ziko upande wa lissu. now, let's go!
MASUBA retweeted
เห็นหนีไม่รอดสักรายแต่ก็ยังพยายามหนี
ยกให้เป็นที่สุดของลุงเจเลย สกู๊ปปี้แดงในตำนาน
ช็อตสุดท้าย...ตำดากนี้ละ จุกบ่มึง5555
MASUBA retweeted
Asante sana kaka @HecheJohn uliongea siku ya mazishi ya Baba yangu mwaka jana na ulieleza maisha ya mtu hayajaribiwi! Ulinitetea kwa hoja nzito!
@ChademaTZ2 mlisimama na kuhesabiwa ila Samia Suluhu na CCM walichofanya ni kukwepa kutaka kuhusishwa which is OK!
Ila ni vyema wananchi waone tofauti ya hawa watu wawili Heche na Lema!
Lema alikuwa hapo na Heche siku hiyo - ila leo anasema mimi ni mwoga!? Imagine unafiki wake!
Sikilizeni alafu amueni nani kiongozi na nani ni mbabaishi na tapeli wa kisiasa
Kwa hii ishu yangu kwangu Lema kuongea kama chawa wa Mama jana ame- commit political suicide! Bye Felicia 👋🏽
#TutaelewanaTu
MASUBA retweeted
USITHUBUTU ONHOOO @PMadeleka imekaaje hiyo 😁
Hapo ndio nakumbuka kwenye law of Evidence mambo ya Admission and Confession,unatakiwa ukili kosa mbele ya uso wa sheria bila kutishwa,au kuahidiwa nafuu yoyote na huo ndio utachukuliwa kama ushahidi au kielelezo lakini kwa sharti la askari polisi officer
MASUBA retweeted
#TajiriLaKihaya
Kwa style hii … Taifa litaponywa kweli💔💔💔
MASUBA retweeted
Mekke’de cinsel ilişkiye girdikleri iddiasıyla idam edilen Bangladeşli çiftin Kâbe’yi ziyaret ettikleri görüntüler sosyal medyada gündem oldu.
Mekke’de camide cinsel ilişkiye girdikleri iddiasıyla idam edilen Bangladeşli çiftin cenazeleri ülkelerine gönderildi.
Anne ve babasının cenaze törenine katılan küçük kızın gözyaşları yürek burktu.
Readers added context they thought people might want to know
İdam edilen iki Bangladeşli evli çift değildi, ortak çocukları yoktu; cenazeleri gönderilmedi, paylaşılan cenaze videosu ve ağlayan kız iddiası ilintisiz/uydurmadır. Suudi resmi açıklamada "fahişe fiil" denildi, başka detay yok.
dhakatribune.com/bangladesh/for…
ipbnews.in/saudi-executio…
spa.gov.sa/N2701392
MASUBA retweeted
Tanzania yazidi kuchafuka duniani: Hati ya Mashtaka Marekani yatuhumu nyaraka za manunuzi ya silaha haramu zilitoka Tanzania kwa rushwa
Hati lenyewe la mashtaka liko chini huko. Ma document ya serikali ya Tanzania yamo kwenye hati ya mashtaka.
WAENDESHA MASHTAKA Marekani wanasema makaratasi ya kununulia silaha yalipatikana Tanzania kwa rushwa. Washitakiwa ni wanne, Mtanzania mmoja.
Sio makaratasi magumashi yenye saini za kufoji, sio falsified, sio fraudulently obtained.
Masaini ni ya ukweli ya Katibu Mkuu Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, DODOMA.
Ni makaratasi TRUE BILL!
Silaha zilitoka Bulgaria kwenda kwa vikundi vya madawa, mauaji na ugaidi vya Mexico.
Ili kuuziwa silaha na mzalishaji yeyote duniani na kuweza kukatisha baharini ni lazima uwe na nyaraka zinazosema mtumiaji anaenda kuwa nani ( End User Certificate), na zikishafika ziendako uthibitishe umepokea (Delivery Verification Protocols).
Waendesha Mashitaka wameonyesha hati mahakamani Marekani zinazosema nyaraka hizi zilitengenezwa Dodoma kwa rushwa.
Silaha zilipofika Jalisco, Mexico, Dodoma ikatakiwa kujibu Delivery Verification Protocol, Dodoma ikaitika TUMEPOKEA.
Julius Nyerere anatetemeka kifafa ndani ya kaburi. Aliyeitwa The Conscience of Africa, Makao Makuu yake ya harakati za ukombozi kusini mwa Afrika pamegeuka ofisi ya kuratibu uhalifu wa dunia, maasi, madawa, magendo mauaji na ugaidi.




























