
Dealing with Corporate and Advert Photograhy & Videography | Cimematography [email protected] 0765479582
Joined April 2022
- Tweets119
- Following23
- Followers54
- Likes152
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Hungary, Katalin Novák wakihutubia hadhara Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo waliyoyafanya ambayo yamelenga kuwepo kwa ushirikiano kati ya nchi hizi kwenye elimu, utalii na masuala ya jinsia.
@pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
71
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo akimpokea na kumkaribisha mgeni wake ambaye ni Rais wa Hungary, Katalin Novák alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya pili katika ziara yake nchini.
📸 na @pichadunia
#pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
56
Rais wa Hungary, Katalin Novak akiwasili nchini akitokea Rwanda na leo Jumanne atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam.
📸 na @pichadunia
#pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
1
4
86
Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa, Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande, Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba, Balozi wa Comoro nchini, Ahamada Mohamed, wakiwa kwenye Baraza la Eid katika Msikiti wa Mohammed VI Kinondoni.
📸 na @pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akihutubia Baraza la Eid Al Adha 2023 ambalo kitaifa limefanyika mapema hii leo mara baada ya kumalizika kwa swala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Mohammed VI Kinondoni, Dar es Salaam.
📸 na @pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ameungana na waumini wa kiiislamu kushiriki ibada ya swala ya Eid Al Adha ambayo kitaifa imeswaliwa leo Juni 29, 2023 katika msikiti wa Mohammed VI uliopo Kinondoni, Dar es Salaam ambapo yalipo makao makuu ya BAKWATA
📸 na @pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
Mzazi akiwa amemkumbatia mtoto wake mara baada ya kuwasili Tanzania kutokea Nchini Sudan ambako mapigano makali yanaendelea kati ya Jeshi la nchi hiyo na askari kutoka Jeshi saidizi.
📸 na @pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
Dkt. Stergomena Tax @DrTaxs akizungumza na Waandishi wa habari katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwapokea Watanzania 206 waliowasili waliowasili leo kutokea Nchini Sudan ambako kuna vita kali inayoaendelea.
📸 na @pichadunia
#pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amewapokea watanzania 206 waliowasili leo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea nchini Sudan ambako mapigano yanaendelea kati ya Jeshi la nchi hiyo na askari wa jeshi saidizi – at Dar es Salaam, Tanzania
Picha kutoka kwenye sherehe za mahafali ya 52, Duru ya tano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Katika mahafali hayo, Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan alitunukiwa shahada ya juu ya heshima (honorary causer) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Picha na @pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
#pichadunia – at Dar es Salaam, Tanzania
2
pichadunia retweeted
HE Dr. Samia Suluhu Hassan. @SuluhuSamia
📸 by @pichadunia
pichadunia retweeted
Photo documentation by @mpigapichamsomi from @pichadunia ✨️✨️
pichadunia retweeted
Replying to @said_pichadunia @pichadunia
Boss ushakuwa mtu mzito sana, sasa nani mwingine angetoa picha kali graduation kama sio @pichadunia
pichadunia retweeted
Highlights from last evening's Showcasing event at Ona Stories Offices:
The aim was to showcase DW Akademie's project approaches with a special focus on what DWA supports around Media Innovation in Tanzania.
Photos by @pichadunia
#pichadunia #mpigapichamsomi



































































