The drummer retweeted
Since Oct 29, 2025 I’ve stepped away from politics to spend a few months in the UAE. But politics is a lifestyle; it affects us all.
I’m disgusted by the lives lost. A family friend disappeared that day. 💔
I stand with Tundu Lissu and hope he’s freed soon.
#FreeTunduLissu
The drummer retweeted
Mhe. Lissu: Sasa huko tutafika. Mashahidi wengine nilikuwa nawambia waache kiherehere sasa unataka na wewe nikwambie hivyo halafu tutaendaje Ukonga baadae, sitaki kukwambia hivyo Afande wangu.
Watu wanacheka. Majaji pia wanacheka sana. 😂😂😂😂
Tuendelee kuchangia mkutano baraza kuu
The drummer retweeted
Blaza Thom, kabla ya October 29 mwaka Jana kulikuwa na campaign za CCM na CHAUMMA na kulikuwa na hiyo vuguvugu la maadamano mbona Dola haikuzuia campaign au kusogeza mbele uchaguzi kama kufanya shughuli za kisiasa kukiwa na maandamano mbele ni tishio la usalama?
CHADEMA ilikuwa imezuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa kwa kipindi hicho, kwa nini CCM iliendelea kufanya siasa? Au katika nchi hii vyama vya siasa ni CHADEMA pekee maana hili la kuzuia Mikutano ya hadhara linaiathiri CHADEMA moja kwa moja ambayo ilikuwa ishaanza kujijenga nakuamka baada yakufungiwa kwa siku zaidi ya mia 300
Kwenye mpira kuna kauli moja tunasema "Play Fair, Be Positive". Viongozi waache kutumia madaraka waliyopewa na katiba kuvunja misingi ya usawa au kunufaisha vyama vyao vya kisiasa, Tanzania ni ya Watanzania wote sio ya chama kimoja
Haki ya kufanya mikutano ya kisiasa inalindwa na Katiba, lakini si haki isiyo na mipaka. Dola inaweza kuhairisha au kuzuia mikutano ikiwa kuna sababu halali na za kisheria, kama vile kulinda usalama wa taifa, amani ya umma, afya ya umma au haki za wengine. Kwa hiyo, mjadala sahihi si kama dola ina mamlaka ya kuzuia au la, bali ni kama sababu zilizotolewa zinakidhi matakwa ya Katiba na sheria. Kiongozi makini anapaswa kuhoji uhalali na msingi wa sababu hizo, badala ya kudai kwamba dola haina mamlaka ya kuzuia mikutano kabisa. We mangi vipi.
The drummer retweeted
Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU
#KatibaMpyaNiSasa
#LiMwenyekiti
The drummer retweeted
Mhuni yuko Jikoni
Amefunga mikutano ya vyama vya siasa kwa amri kupitia Bunge
Hivi inawezekana Vipi Bunge likawa sehemu ya serikali kutoa amri kuvunja Katiba
The drummer retweeted
CHADEMA, chama kilichozuiliwa kufanya siasa kwa siku 310 mfululizo, kimeanza mikutano ya hadhara kidogo, MaCCM wameingiwa na hofu na kuzuia mikutano. Hapo bado mashine Tundu A.M Lissu hajatoka gerezani. Tutawapiga spakoo za kutosha sana. Mbogamboga, mbinu hizi za kishamba na kitapeli za kuzuia shughuli halali za kisiasa, hazitawafanya mpendwe, zinazidi kuwajengea chuki kwa wananchi. Kama mlishinda kwa 97% na kupigiwa kura milioni 32, mnawezaje kuogopa chama cha siasa kisichokuwa na mbunge, diwani, mwenyekiti wa mtaa, kijiji au kitongoji? Endeleeni kuzuia, mnavyozidi kutuzuia ndivyo mnavyowatia wananchi hasira na kuwazindua usingizini. Panakaribia kukucha, mamiyakeee. MBORAAAKE. #KatibaMpya #FreeTunduLissu
NB; Kwa huu mtiti, msingejichoma vidole wenyewe, mnuse, halafu mpige chafya (kuzuia mikutano) tungewashangaa sana. Tunawafahamu.
The drummer retweeted
Leo nimepanda bajaji moja hivi dereva ni mlemavu wa miguu, tuko njiani jamaa anapigiwa simu kuna mchongo wa kazi anaitajika mtu, dereva kwa kuwa ni mlemavu alituomba apaki pembeni ampigie simu rafiki yake ambae hana kazi ampe taarifa kuna kazi imepatiakana, Men are good people.
The drummer retweeted
Ndugu wana-𝕏,
Kwamba, mimi, Martin Maranja Masese, sina uhusiano wowote wa kiasili, kisheria au kiutendaji na akaunti inayotumia jina la (@Legend_Mtikila)
Mmiliki wa akaunti hiyo anatumia picha na jina langu la utani (Mtikila), pengine kwa lengo la kuvutia ufuatiliaji (engagement) kwa watu mtandaoni.
Binafsi, simfahamu anayeendesha akaunti hiyo na sihusiki na maudhui yanayochapishwa humo. Lakini anaonekana anapiga spana MaCCM. Aendelee.
Naomba umma utambue kuwa maoni au taarifa zinazotolewa na ukurasa huo haziniwakilishi kwa namna yoyote ile. Nisihusishwe na maoni yake.
Martin Maranja Masese, MMM.
The drummer retweeted
Naomba nisaidie kusambaza ujumbe huu, Ndugu yetu @yantorya amepoteza vyeti kwenye bajaji, amevisahau akiwa anaelekea kariakoo
Vyeti vipo 3
1. Pharmaceutical technician certificate
2. licence of practise
3. certificate of enrollment
Majina Yantorya Kishere
Simu 0743999604
The drummer retweeted
A Vigil for our Fallen Heroes this evening in Nairobi CBD, thanks to our Jumuiya compatriots.
May the blood of our fallen heroes never go vain. #TanzaniaMassacre
The drummer retweeted
Hatutasahau kuwa October 2025 Samia Suluhu ali terrorise nchi nzima akauwa watu zaidi ya elfu 10 akijilazimisha kuwa rais.
RIP to our fallen heroes.
Tutadai uwajibikaji hadi tone la mwisho.
#MO29 #TanzaniaMassacre
The drummer retweeted
Msanii Benpol anasema mwaka 2014 ulikuwa mgumu sana ikapelekea yeye kurudi nyumban kwao na kuanza upya.
Benpol alitoka ki mziki mwaka 2010 alitoa hits song kibao kama nikikupata, pete na nk, ikapelekea kupewa tuzo mbalimbali kama mtunzi bora alikuwa msanii mkubwa.
Ilivyofika
The drummer retweeted
Sheria ya Usalama wa Taifa ilifanyiwa mabadiliko ili afisa TISS aweze kubeba silaha & kulinda familia za Viongozi. Hii mtaelewa maana yake ukifika wakati wa Uchaguzi. Taifa hili linaenda kuwa kama Zimbabwe kama wananchi hatutoungana kuing'oa CCM toka madarakani. CCM ni TATIZO.
The drummer retweeted
Pumzika kwa Amani Deus mgengele hatutasahau ukatili samia alio fanya juu ya watanzania wazalendo 💔😭






























