Pinned Tweet
๐งต๐ชก.NAMNA TANZANIA INAVYOWEZA FUATA HATUA ZA MAO ZEDONG KUFIKIA MAFANIKIO KAMA YA CHINA.
Mr.VentureVibeTz retweeted
The final photographs of Muhammad Ali, taken at his home shortly before his death in 2016.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Replying to @Sativa255
Huu ndio uthibitisho kuwa MEDIA sio chanzo cha ukweli bali ni vyombo vya propaganda. Polepole alisikika bila wao, na leo wamejazana kumsafisha TUME. Mnaweza kufungia kalamu, mnabaki kushindwa kufungia sauti za Mungu. Nguvu ya ukweli ikifika, hata mawe yatapaza sauti.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Unashangilia kwenda kuwatumikia wananchi!?๐ค๐คท๐ฟ
Au unashangilia umepata ajira yenye mshahara mnono?
Mr.VentureVibeTz retweeted
"Lini umewahi kuona Viongozi Wakuu wa CCM wamewahi kuwekwa ndani?-; Oscar Oscar
Mr.VentureVibeTz retweeted
Jana, Rais akihairisha bunge, amewaagiza polisi wakomeshe matendo ya utekaji. Wabunge wa CCM wakagonga meza na kupiga makofi mengi sana. Lakini ni wabunge hao wa CCM waligonga meza na kupiga makofi mengi sana spika wa bunge hilo alipokataa hoja ya utekaji isijadiliwe bungeni.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Replying to @BRICSinfo
fun fact: when a country displays its โtop of the lineโ military hardware, it usually means they got something else 10x better behind closed doors.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Replying to @GlobeEyeNews
While the West tries to isolate and destabilize Iran, China quietly buys 90% of its oil โ funding what others are trying to destroy. They call it sanctions. China calls it opportunity.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Sio kwamba tunampambania Lissu au Heche
Sio kwamba tunamchukia sana Mama Abduli
Sio swala la CDM vs CCM
Waungwana tunaposema REFORMS, ni kwamba tunaipambania TZ๐น๐ฟ
Tunapambania leo yetu, kesho yetu, na kesho ya vizazi vyetu
Kama umeamka salama sema โ NO REFORMS NO ELECTION
Mr.VentureVibeTz retweeted
Tungekuwa tunaishi jamii yenye upendo kila mwenye gari binafsi angekuwa anabeba wanafunzi kadhaa. Mkiwa njiani unawatia moyo na kujibu maswali yao!!
Mr.VentureVibeTz retweeted
Rafiki yangu Mtanzania ameniambia, โKama CHADEMA ikishinda urais 2025, nitawaambia watoto wangu kwamba Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961, ikaupoteza 1995, kisha ikaurejesha tena 2025.โ Nimecheka sana โ sikuwa hata najua anamaanisha nini kabisa.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Hizi ni baadhi ya Video za Kazi ambazo walikuwa wanafanya #Wachokonozi.
Ni bahati mbaya sana tunaongozwa na Idd Amin Mama ambae anaamini kwamba mtu yeyote ambae anamkosoa anastahili kutekwa.๐ฅน
#FreeWachokonozi
Mr.VentureVibeTz retweeted
Mimi sio mtabiri, sio mganga, wala sio nabii; natumia rationality, logic, pattern thinking, na IQ... Ipo siku 1 Watanzania watashtuka na kugundua kuwa hii sio nchi ya kikundi cha watu wachache... sio siku nyingi sana kutoka sasa.
Mr.VentureVibeTz retweeted
Kanisa Katoliki nchini Tanzania limezuia rasmi kuwapa nafasi viongozi wa Kisiasa na Kiserikali kuongea, kutoa hotuba, Pongezi na kusalimia mbele ya waumini ndani ya Kanisa. Waraka wa kuzuia jambo hilo umetolewa na baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC).
Mr.VentureVibeTz retweeted
โMheshimiwa Rais, sisi watu wa Kisesa TUNAKUDAI. Maeneo mengine huko wanaposema hawakudai, zile fedha zihamishe na uzilete Kisesa, kwa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetuโ - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Kisesa, Simiyu.
Mr.VentureVibeTz retweeted
๐
Tumefika hatua ya mtu anayehoji kwa nia njema ya kujenga anatengezewa ajili ya kisiasa na nguvu kubwa inatumika kumchafua kwa wananchi kwa kuwaaminisha kuwa mtu huyo hana nia njema na Taifa, Wale wanaosifia kila kitu ndo hao viongozi wanataka jamii iwaone Wazalendo wa Kweli
Mr.VentureVibeTz retweeted
Kwenu viongozi wangu wa CHADEMA.
Njia ya kuwasiliana na watanzania zipo za aina nyingi sana hasa kwenye platform zetu za mitandao ya kijamii.
Ni kweli tumeukuta utaratibu wa kuitisha PRESS ila ifike wakati tubadilike kulingana na majira. Kila tunachofanya kwasasa kinapingwa na vyombo vya dola.
Na hawana sababu za kisheria kutuzuia-wanatumia ubabe. Ebu tujaribu kuwa wabunifu kidogo kikubwa hatuvunji sheria na katiba ya nchi.
Juzi kulikuwa na TUKIO la uvamizi wa kanisa la Askofu Gwajima usiku wa manane. Watu walipigwa, mabomu ya machozi yakipigwa, kulifanyika kila aina ya UNYAMA.
Hakuna MEDIA HATA MOJA ilisogeza pua yake pale UBUNGO. Ila nani ambae hakuona ule unyama uliofanyika sikuile? Social media zilichukua nafasi ya vyombo vya habari na dunia ilihabarishwa kila kitu kwa uwazi zaidi.
Kuna wakati hawa POLISI tunawapa masifa tuu kubrag waonekane wapo makini na kazi yao kitu ambacho sicho.
Kama leo PRESS kuzuiwa ilikuwa ni lazima ndiomaana na nyie hamkusema itafanyika wapi. Kwahiyo tunaweza kutoka huko kuamini sana hizi PRESS na kufanya kibunifu zaidi na nchi na dunia ikapata HABARI iliyokusudiwa.
Tufanye kila kitu kikubwa tusivunje Sheria za nchi na kulinda AMANI.
Ushauri wangu ndio huo.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐




























