Africanist and developist retweeted
Kama umeamka salama siku ya leo, usiache kumshukuru MUNGU
Good morning
Africanist and developist retweeted
Watu 200 wa mwanzo tayari,
Tunaendelea usiweke handle weka emoj yoyote,
Pia naomba rt kwenye pinned post yangu, asante🙏😍
Africanist and developist retweeted
Hili tatizo la UMEME ni tatizo hasa la MTU. Ni tatizo linaloanzia kwa RAIS mwenyewe. JPM aliposhika urais, alithibitisha hili. Alikuta MGAO upo, akasema tatizo ni UFISADI si upungufu wa maji wala uhaba wa miundombinu. Kweli ktk kipindi chake hakukuwa na MGAO wa UMEME. #Fact
Africanist and developist retweeted
Kinyozi wa watu tangu saa 12 asubuhi hajaingiza hata mia ya mteja mmoja kwasababu ya Umeme afu anaingia Twita anakutana na tweet za msaki na Bihemo za Mama anaupiga mwingi...inauma kisenge basi tu.
Africanist and developist retweeted
Ila Li Kassim linapendezea pale au uongo? 😃
“Rais wetu [Samia Suluhu] yuko imara, Rais wetu yuko makini. Ametoa maelekezo thabiti kwa wasidizi wake, na ninataka niwaambie tunayotekeleza ni maelekezo ya Rais wetu. Tutaendelea kuchukua hatua kwa wala rushwa, tutaendelea kuchukua hatua kwa wanaofanya matumizi mabaya ya Serikali.” – Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Africanist and developist retweeted
Saa tatu kamili tunaanza kudondosha vocha za Mkono wa Eid.
Retweet kisha kaa karibu na ukurasa wetu ujizolee vocha za BURE.
#MkonoWaEid
#EidMubarak
Africanist and developist retweeted
●Aliacha nchi ipo uchumi wa kati sasa imerudi kwenye nchi maskini.
●Aliacha bei ya umeme 218 tsh kwa unit 1 sasa ni 357 kwa unit na ni wa mgao masaa machache kwa siku.
●Aliacha unit 1 ya maji 1700 tshs sasa unit 1 ni 2400, maji yenyewe yanatoka mara moja kwa mwezi.
Africanist and developist retweeted
Hii ni aibu kwa taifa hili kama mh waziri @Nnauye_Nape uliweza kutukia chopper kuzunguka nchi nzima wakati hakuna bajeti ya vibao hivi katika maeneo mengine inatafakarisha sana
Africanist and developist retweeted
Hapa kazi tu, Bonge moja la Slogan. And people really started working and Producing. Akaja mvivu @zittokabwe na Kazi na Bata, ili mradi tu atafune kodi za bure za watoa jasho.
Africanist and developist retweeted
Dear Culers,
It was not an easy season, but we want to show our gratitude for your unconditional support.
THANK YOU, CULERS! 💙❤️
Sincerely,
Barça
Africanist and developist retweeted
Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiwa amebinuka sarakasi ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma leo.
#mwananchiupdaates
Africanist and developist retweeted
Ukiona Wahuni Wanapambana na Marehemu, Ujue Marehemu ana Nguvu kuliko walio hai
Hata Kayafa alipambana na maiti ya Yesu wakaweka mpaka Jiwe na askari wengi kaburini kuilinda maiti hiyo ilikua ni ishara tosha kua maiti ya Yesu haikua ya kawaida JPM hakua mtu wa kawaida even today
Africanist and developist retweeted
Wasichana tafadhali usikubali kwenda geto la mwanaume kama sio mpenzi wako au ndugu yako wa karibu,mabinti wengi wanaitwa magetoni wanaishia kufanyiwa vitendo vya kidhalilishaji kisa tu waliwaamini kama marafiki au kama kaka tu au mtu mzuri wa kumpa dili hawezi fanya jambo baya
Africanist and developist retweeted
Hii mida fanya hiivi, shusha handle yako na follow woote watakao like handle yako 🙌🙌
Africanist and developist retweeted
Kwa Hisani ya Man Cty,.
Drop your Handle kisha Retweet Tuongeze followers kimasta,.✌
Tuanze na @manofpeople18
Africanist and developist retweeted
Haya mashindano ya Miss Tanzania ni ya hovyo yani Wamewapiga chini wanawake wenye Matako af ushindi kapewa mwanamke mwenye Komwe,.😂🙌
Africanist and developist retweeted
REKODI ZA RAIS SAMIA TANZANIA:-
@SuluhuSamia
1. Makamu wa kwanza wa Rais Mwanamke;
2. Rais wa kwanza kuingia madarakani bila uchaguzi;
3. Rais wa kwanza mwanamke;
4. Rais wa kwanza kucheza filamu;
5. NA SASA ANAENDA KUA RAIS WA KWANZA KUONDOLEWA MADARAKANI NA UPINZANI!
Africanist and developist retweeted
Nasikia Kuna chama cha siasa kinataka kuanza kuchukua ruzuku walioikataa kwa mwaka mmoja hivyo wakianza kuchukua watakuwa wameutambua UCHAGUZI 2020 Ni halali na watatakiwa kuacha maneno ya kejeli juu ya UCHAGUZI 2020. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Africanist and developist retweeted
Lakini nataka niwahakikishie ndugu zangu. Wale wote wanaomsema Kwa mabaya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hayati Dkt. John P. Magufuli. Ipo siku watayalipia hayo maneno yao.
Tena watayalipia Kwa maumivu makali sana. Huku wakilia na kuomba msamaha.


































