TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90) header
TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90) profile picture

Team chelsea 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Young Africans fan 🟢 Media Personnel Journalist Presenter Camera OP.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2022
Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)Photo by TZ Quotation power🇹🇿 (@willydaniel90)
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
You must find the courage to leave the table if respect is no longer served. Know your worth and protect it.
11
66
121
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Mwanaume asiye na Pesa leo anaweza kuwa Mkombozi wako wa Kesho Heshimu sana Safari yake hata ukihisi hana Cha kukupa.✍🏻
5
7
1
29
695
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Team zote za north london zimeipiga psg kasoro sisi arsenal mwaka huu kweli kocha akileta ufala wake asepe tushamvumilia sana
8
14
2
112
2,984
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Keep the Blue Flags Flying High! Chelsea is winning!
8
13
42
875
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
"MGUSO WA MAMA"
15
8
1
54
4,630
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Another day to remind you that, if it's not worth fighting for, walk away with dignity.
5
11
20
219
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Nashangaa mbona nimeamka na uchovu, kumbe tulipiga Man U.
3
16
25
206
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
WACHAWI HAWATAKI UJUE HII SIRI KUHISU MAVI YA PAKA . ⭐️UZI🧵🧵👇⤵️⤵️⤵️⤵️
35
21
61
14,135
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Uliwahi kusikia nini kuhusu viwanda vinavyo tengeneza pesa? Je ni kweli pesa zote zina tengenezwa Uswisi? Je! Unajua Afrika pia zipo nchi nyingi tu zina print pesa zao mwenye? Huu hapa ukweli kuhusu utengenezaji na pesa Shuka Na Uzi mfupi 🧵⤵️
55
158
4
1,142
284,656
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Jaribu tena na leo huenda ukapata Good morn Hustlers
23
41
1
748
44,738
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
UKWELI KUHUSU KIFO CHA GADDAFI - Gadaffi alisalitiwa na kuuliwa na watu wake wa karibu kwa influence ya USA Gaddafi hakuuliwa Kwa Sababu aliwatreat Vibaya Watu Wake kam USA inaua Rais ambae ni Dikteta Mugabe Angekufa Mapema Gaddafi Aliuawa Kwa Sababu Alikuwa Katika Mchakato Wa Kuunganisha Afrika Kupitia Benki Moja & Sarafu Moja na Jeshi Moja. Uzi Shuka Nayo….🧵⤵️
56
82
5
762
181,923
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
It is easy to doubt anything when you know nothing 📝
2
3
48
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Katika historia ya bahari, kumekuwa na matukio mengi ya ajali za meli. Lakini kuna simulizi moja ya ajabu iliyozua maswali yasiyo na majibu kwa zaidi ya karne tatu. Ni simulizi ya mfululizo wa meli zilizozama katika Pwani ya Wales, na cha kushangaza, kila mara kulikuwa na mtu mmoja aliyenusurika, na jina lake lilikuwa lilelile, Hugh Williams. Je, huu ulikuwa mkosi? Bahati? Au kulikuwa na jambo zaidi ya macho yetu yanavyoweza kuona? Siku ya tarehe 5 Desemba 1664, meli kubwa ilizama katika Pwani ya Wales. Bahari ilikua na mawimbi makali, upepo ukivuma kwa kasi, na kabla ya nahodha kuchukua hatua yoyote ya kuokoa abiria, meli ilikuwa imetoweka ndani ya bahari yenye giza. Kati ya watu 81 waliokuwepo ndani ya meli, hakuna hata mmoja aliyenusurika, isipokuwa mtu mmoja. Jina lake? Hugh Williams. Mtu huyu alibebwa na mawimbi hadi kufikia pwani, akiwa amechoka lakini mzima. Wakazi wa eneo hilo walimchukua na kumhudumia. Ilikuwa ni miujiza. Lakini walijua nini? Kwamba hili lilikuwa tu tukio la kwanza katika msururu wa ajali zinazoshangaza dunia hadi leo.
5
15
1
243
28,231
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
UCHAWI NYUMBA ZA KUPANGA. (TRUE STORY) . Jamaa anasimulia “Nilikuwa naota mama mwenye nyumba anakuja chumbani kwangu na nashiriki naye tendo la ndoa nilikuwa najiuliza inakuwaje niote kitu halafu niwe nimekifanya kweli, niliamini labda ni ndoto zinazosababishwa na uchovu au kwa vile mke wangu hayupo Hali hiyo ilijirudia mara kwa mara hadi ikafika kipindi asubuhi nikawa namtazama sana usoni mama mwenye nyumba lakini yeye anashindwa kunitazama usoni ….. 🧵👇
39
96
3
719
199,514
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
𝗪𝗲𝗻𝗴𝗶 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮𝗻𝗮, 𝗻𝗮 𝗠𝘂𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗰𝗵𝗶 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶, 𝗧𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗮, 𝗻𝗮 𝗭𝗮𝗻𝘇𝗶𝗯𝗮𝗿 𝗶𝗹𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗺𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗵𝘂𝘆𝘂 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮, 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗯𝘂𝗻𝗶 𝗷𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗮 𝗧𝘇.... 𝘂𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗶𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮𝗷𝗲 ? 𝗘𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗡𝗮 𝗨𝘇𝗶 𝗠𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗠𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼🧵
39
50
3
288
75,139
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Osama bin Laden: Mtu aliyelitikisa Taifa kubwa zaidi duniani Katika historia ya dunia, ni watu wachache sana waliofanikiwa kuutikisa ulimwengu kwa kiwango kikubwa kama alivyofanya Osama bin Laden. Dunia nzima ilimuimba na kumtaja usiku na mchana, Marekani na ukubwa wao wailitumia takribani miaka 10 bika mafaniko kumtafuta Jina lake limebaki kuwa nembo kuu ya ugaidi wa kimataifa, huku matendo yake yakiathiri siasa, usalama, na mahusiano ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Osama bin Laden, mzaliwa wa familia tajiri nchini Saudi Arabia, alikulia katika mazingira ya kifalme lakini aliamua kuachana na maisha ya kifahari na kuingia kwenye harakati za jihad. Aliathirika sana na mawazo ya wanazuoni wa Kiislamu wenye misimamo mikali kama Sayyid Qutb na Abdullah Azzam, ambao walimhamasisha kuwa mtetezi wa Uislamu kwa njia ya vita vya kidini dhidi ya ‘makafiri.’ Thread 🧵 - Fupi.
22
66
2
497
100,036
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Ebu fikiria Maisha yako ikiwa upo macho muda wote—hakuna kupata njozi au ndoto, hakuna mapumziko, hakuna usingizi hata kwa sekunde moja. Unaweza kuishi hivyo? Jibu unalo, lakini kwa Thai Ngoc, mkulima mwenye umri wa zaidi ya miaka 81 kutoka Vietnam, amekuwa akiishi maisha hayo kwa zaidi ya miaka 60! Tangu mwaka 1962, hajawahi kulala hata mara moja. Lakini cha kushangaza zaidi? Hali hii haikumfanya kupoteza uhai, anafanya kazi kwa bidii, na ameonekana kuwa na nguvu kuliko watu wa kawaida! Hii si simulizi kisayansi ya kubuni—ni ukweli wa kushangaza ambao umewashangaza madaktari, wanasayansi, na hata wanahabari wa kimataifa. Thread 🧵 👇🏾
11
45
1
317
61,936
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Kuna muda mungu habadilishi maendeleo yako sababuanataka kubadilisha moyo wako.
2
2
85
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
"Elimu siyo tu kupata cheti au kufaulu mtihani, bali ni mwanga unaokuongoza katika maisha. Ukiwekeza katika maarifa, unajiwekea msingi imara wa kesho bora." Nelson Mandela.....✍️✍️
1
2
63
TZ Quotation power🇹🇿 retweeted
Kwaiyo na sisi tungekua nyani madem wangekua wanamkubali babalevo na mbosso kinoma noma😅
3
4
1
40
1,362