backup retweeted
This level of arrogance is Top notch, hongera @SuluhuSamia
Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape…
Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua anatia huruma sana .. leo kasogea kwenye meza ya chakula ameshiba na anawatapikia Watanzania.
Kitu kimoja ninamshukuru kwamba amesema ukweli kuwa, Nchi hii hakuna uchaguzi.
Kinachonishangaza ni kwamba, inawezekanaje Watanzania wakakubali dharau, Matusi na kejeli ya kiwango hiki…
backup retweeted
Mh. @Nnauye_Nape what is this !? Really unajivuna haya mbele ya cameras ? Then mnakuja kuhubiri haki na amani wakati mioyo na mikono yenu imejaa dhuluma! Hamtaishi milele... Hivi vyeo vinawasahaulisha kujua everything in this life is for rent.
Ila tunawashukuru kwa kuyasema hadharani.
Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono
-- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi
-- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa tunafanya kisha tunaomba Mungu atusamehe baada ya kufanya mbinu chafu
-- Mbunge wenu nitamfundisha namna ya kushinda uchaguzi nina mbinu nyingi pamoja na zile chafu , miminajua namna ya kushinda uchaguzi
-- Soko lenu ni millioni 300 , tutakwenda huko serikali kutafuta fedha, lakini nikikosa huko nina makampuni ya simu mawili tu yanaweza toa hii fedha ni kidogo sana sio lazima itoke serikarini ... tukumbuke haya makampuni yanatoa CRS na fedha nyingine yote yanampa waziri anayesimamia sekta hiyo tu inaacha maswali, kwa nini iwe kwa waziri wa mawasialino kama nia ni kusaidia bila kuomba chochote kwa waziri? Kuna email kutoka Barick iliwahi onyesha walivyokuwa wanamlipa IGP kinyume na taaritiba na wakasema ni rushwa kwenye hiyo email, Leo waziri wa mawasiliano anasema uwa anasaidia fedha na makampuni ya simu , hii inaitwa nini ?
MWISHO, CCM wanakataa #KatibaMpya kutokana na hoja kwamba wao ndio wanahesabu kura na Nape ameeleza hapo namna wanavyoshinda kwa halamu
Tupigania #KatibaMpya kuziba haya mashimo, wanasiasa wanaongea wazi wazi wanavyotupora chaguzi, uchaguzi ni mchakato wa wananchi kuchagua viongozi wao
#ChangeTanzania #WenyeNchiWananchi
backup retweeted
Hivi mtu huwezi kula ukashiba ukaa kimya ili kesho ule tena gizani kama ulivyozoea mpaka upige kelele huko nje wenye njaa wakusikie kama ulikula mikuku jana yake? Nimeona video ya Pena nimesikitika sana. Anawapa shida tu wenzie kuanza kujieleza bila sababu zozote za msingi.
backup retweeted
Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono
-- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi
-- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa tunafanya kisha tunaomba Mungu atusamehe baada ya kufanya mbinu chafu
-- Mbunge wenu nitamfundisha namna ya kushinda uchaguzi nina mbinu nyingi pamoja na zile chafu , miminajua namna ya kushinda uchaguzi
-- Soko lenu ni millioni 300 , tutakwenda huko serikali kutafuta fedha, lakini nikikosa huko nina makampuni ya simu mawili tu yanaweza toa hii fedha ni kidogo sana sio lazima itoke serikarini ... tukumbuke haya makampuni yanatoa CRS na fedha nyingine yote yanampa waziri anayesimamia sekta hiyo tu inaacha maswali, kwa nini iwe kwa waziri wa mawasialino kama nia ni kusaidia bila kuomba chochote kwa waziri? Kuna email kutoka Barick iliwahi onyesha walivyokuwa wanamlipa IGP kinyume na taaritiba na wakasema ni rushwa kwenye hiyo email, Leo waziri wa mawasiliano anasema uwa anasaidia fedha na makampuni ya simu , hii inaitwa nini ?
MWISHO, CCM wanakataa #KatibaMpya kutokana na hoja kwamba wao ndio wanahesabu kura na Nape ameeleza hapo namna wanavyoshinda kwa halamu
Tupigania #KatibaMpya kuziba haya mashimo, wanasiasa wanaongea wazi wazi wanavyotupora chaguzi, uchaguzi ni mchakato wa wananchi kuchagua viongozi wao
#ChangeTanzania #WenyeNchiWananchi
RT @HecheJohn: Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape…
Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua an…
backup retweeted
Sio wao tu, siku hizi kokote unakoenda ukilipa bili likibaki buku au jero wanajikausha hawarudishi
backup retweeted
Bado natafakari kwamba polisi wanaweza kukaa na wewe siku 29 na hakuna mtu anajua ulipo 🙌🏼
Thats some scary shit
backup retweeted
Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia , sisi wananchi wako hatuna wa kumwambia masikitiko na hofu zetu zaidi yako. You are the Commander in Chief. Unfortunately, hatuna imani na Jeshi la Polisi maana wamekuwa WAONGO na WAVUNJIFU wa sheria ambazo they are supposed to scaffold its adherence.
Hatujui tofauti ya kutekwa na kukamatwa na jeshi la Polisi. Matukio haya ya Sativa na Kombo ni kielelezo. Siku 29 bila kumpeleka mtu mahakamani na bila kuwapa familia yake taarifa na tena kudanganya hawajui alipo na ili hali hata upelelezi hawakuwa wamekamilisha, hii sio sawa kibinadamu na kisheria za nchi yetu.
They make us question whether you are in agreement with what they are doing or they are sabotaging you! Unfortunately, uliwasifia hivi karibuni... Labda hii ni ile "Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji". Sema nao na wakumbushe tena..set sail mama.
I wish you well 🙏 Madam President. – at Kalamazoo, MI
backup retweeted
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa @SuluhuSamia, in another episode of "Public Service";
Mimi ni muumini mkubwa kwamba public servants should be held responsible for their actions and adherence to ethical standards zinazoendesha nchi. Also, they should adhere to a code of ethical and moral principles to be honest, fair, and truthful enough to do what is right to the people they're serving.
Recently, baadhi ya wasaidizi wako wamepunguka kwenye hili eneo. Uungwana umewatoka, wamekuwa na jazba inayowapa kukosa sound judgement of their actions and ethics za uongozi. Mama yetu mpendwa, utakua umeona juzi RC alivyosema na wananchi wake, tulishtushwa,. Hii clip hapa chini pia imetushtua level ya arrogance na hali ya kukosa stamina ya usikivu wa kiongozi kwa mwananchi ambaye he was just trying to explain himself. Mama tuseme ule ukweli wa haki jameni, kulikuwa na haja ya waziri kumuamuru OCD wamchukue huyo baba? Si ingetosha tuu kwa waziri kusema kwa staha mtu mwingine aongee kama hakufurahishwa na alichosikia.! I am a student of global leadership, na najiuliza lengo lake la kufanya alichofanya ilikuwa ni kuwapa hofu wananchi ili waseme ANACHOTAKA KUSIKIA YEYE au ni alighafirika tuu (shetani alimpitia) sema hawakwenda nae mahali☺️. !
Mh Rais, wewe mwenyewe ukiongeaga na sisi wananchi wako huwa husemi hivi hata kama tumekuudhi kiasi gani humu. Basi ukikutana nao... Please remind them that they are our SERVANTS.. Remind them about power (how it corrupts and can be damaging if not used appropriately), privileges, and justice. Remind them that some of them, we actually voted for them to be where they are now! Remind them that UNBALANCED POWER ATTRACTS RESISTANCE.
Wasipokuelewa, wagombeze kama wao wanavyotufanyia huku au weka kando ili sikio lisizidi kichwa.
I wish you well 🙏 Madam President.
backup retweeted
Jamaa wanaweza kukudaka wakakaa nawe ukafuatiliwa polisi wakasema hawakujui baadae wanakuja kusema wanakushikilia kwa siku kadhaa aisee hii mbaya sana.
Sasa fikiria umekosea kiongozi anajuana na jamaa ukabebwa kwa mzigo bila Sheria.
Ngumu sana kumeza hii.
backup retweeted
Ni mafuriko. teapawt.net/ChademaTz/status/18114…
backup retweeted
We need to do more, tutengeze ka documentary cha hali ya umasikini wa Watanzania ,utawala mbovu wa sheria vs watawala ma V8 yao , what they own, bussines zao naona Watanzania kama hawaelewi what we are fighting for @MabalaMakengeza @DengeBackup @EduTalkTz @masoudkipanya
🔥 NO STONE WILL BE LEFT UNTURNED🔥‼️
Tanganyika Lost Society mtarudi kuwa Law Society soon!
Haya majaji wastaafu Joaqaine De Mello na Robert Makaramba na leseni zao 👇🏾
Muda huu e-wakili inaonyesha hamjahuisha leseni 🔨
Ila @haroldsung_ na genge lako hapo @TanganyikaLaw tutabanana hadi mwisho
Amueni MNAFUTA AU HAMFUTI?
Na hii kanzidata msiguse!
Hadi #TutaelewanaTu



























