backup (@DengeBackup) header
backup (@DengeBackup) profile picture

Backup

Joined January 2020
Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)Photo by backup (@DengeBackup)
Watanzania ukiachana na Ujinga Maradhi Umasikini Tunasumbuliwa na Wivu Chuki Nyege
252
270
17
2,989
Sema hata Gen Z Kenya walionekana ni kelele tu za mtandaoni ila mwisho wa siku yako wapi
4
65
2,095
Na vijana wataamka na # ya ilikuwa ni utani kesho…kmmk sijui nani katuroga
3
4
64
2,639
Me naamini haya yote yanatokea kwa mipango ya Mungu kutuonesha tunaongozwa na viongozi wa aina gani na hatua gani tuchukue
3
8
1
97
2,690
Utani wazeee😂😂😂😂
8
1,107
Hii nchi bhana😂😂😂😂😂😂😂😂
#CCM yamjibu #NAPE hoja ya Ushindi katika chaguzi. Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Ndg. Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzi mbalimbali nchini. Ndg. Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo. Aidha, amesisitiza kuwa kauli iliyotolewa na kiongozi huyo haikihusu Chama Cha Mapinduzi na ni mawazo yake yeye mwenyewe. CCM itaendelea kuheshimu demokrasia na maamuzi yeyote ya wananchi kupitia sanduku la kura kama ilivyo siku zote. #CCMimaraSerikaliImara #SamiaNiWetuSote
1
13
919
This level of arrogance is Top notch, hongera @SuluhuSamia
Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape… Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua anatia huruma sana .. leo kasogea kwenye meza ya chakula ameshiba na anawatapikia Watanzania. Kitu kimoja ninamshukuru kwamba amesema ukweli kuwa, Nchi hii hakuna uchaguzi. Kinachonishangaza ni kwamba, inawezekanaje Watanzania wakakubali dharau, Matusi na kejeli ya kiwango hiki…
106
122
4
633
40,120
Ukweli mchungu
THE POLICE AFTER A LONG DAY OF WORK 😂😂😂😂😂😅😅
1
1
9
879
Mh. @Nnauye_Nape what is this !? Really unajivuna haya mbele ya cameras ? Then mnakuja kuhubiri haki na amani wakati mioyo na mikono yenu imejaa dhuluma! Hamtaishi milele... Hivi vyeo vinawasahaulisha kujua everything in this life is for rent. Ila tunawashukuru kwa kuyasema hadharani.
Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono -- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi -- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa tunafanya kisha tunaomba Mungu atusamehe baada ya kufanya mbinu chafu -- Mbunge wenu nitamfundisha namna ya kushinda uchaguzi nina mbinu nyingi pamoja na zile chafu , miminajua namna ya kushinda uchaguzi -- Soko lenu ni millioni 300 , tutakwenda huko serikali kutafuta fedha, lakini nikikosa huko nina makampuni ya simu mawili tu yanaweza toa hii fedha ni kidogo sana sio lazima itoke serikarini ... tukumbuke haya makampuni yanatoa CRS na fedha nyingine yote yanampa waziri anayesimamia sekta hiyo tu inaacha maswali, kwa nini iwe kwa waziri wa mawasialino kama nia ni kusaidia bila kuomba chochote kwa waziri? Kuna email kutoka Barick iliwahi onyesha walivyokuwa wanamlipa IGP kinyume na taaritiba na wakasema ni rushwa kwenye hiyo email, Leo waziri wa mawasiliano anasema uwa anasaidia fedha na makampuni ya simu , hii inaitwa nini ? MWISHO, CCM wanakataa #KatibaMpya kutokana na hoja kwamba wao ndio wanahesabu kura na Nape ameeleza hapo namna wanavyoshinda kwa halamu Tupigania #KatibaMpya kuziba haya mashimo, wanasiasa wanaongea wazi wazi wanavyotupora chaguzi, uchaguzi ni mchakato wa wananchi kuchagua viongozi wao #ChangeTanzania #WenyeNchiWananchi
4
6
2
16
1,658
Ninywe Pepsi kupoza hasira
1
1
1
18
1,625
Hivi mtu huwezi kula ukashiba ukaa kimya ili kesho ule tena gizani kama ulivyozoea mpaka upige kelele huko nje wenye njaa wakusikie kama ulikula mikuku jana yake? Nimeona video ya Pena nimesikitika sana. Anawapa shida tu wenzie kuanza kujieleza bila sababu zozote za msingi.
3
3
16
999
kuna kauli zinatia hasira sana ila ipo siku
3
47
1,595
Hizi kauli zimetoka kwa waziri aliyewahi kusoma goli la mkono -- Kushinda uchaguzi inategemea ni nani anayehesabu kura , sio kwamba ni zile kura zilizopigwa anayeamua ni yule anayehesabu ndiye anapanga mshindi -- Mimi mbinu cha kushinda uchaguzi nazijua nyingi tu, uwa tunafanya kisha tunaomba Mungu atusamehe baada ya kufanya mbinu chafu -- Mbunge wenu nitamfundisha namna ya kushinda uchaguzi nina mbinu nyingi pamoja na zile chafu , miminajua namna ya kushinda uchaguzi -- Soko lenu ni millioni 300 , tutakwenda huko serikali kutafuta fedha, lakini nikikosa huko nina makampuni ya simu mawili tu yanaweza toa hii fedha ni kidogo sana sio lazima itoke serikarini ... tukumbuke haya makampuni yanatoa CRS na fedha nyingine yote yanampa waziri anayesimamia sekta hiyo tu inaacha maswali, kwa nini iwe kwa waziri wa mawasialino kama nia ni kusaidia bila kuomba chochote kwa waziri? Kuna email kutoka Barick iliwahi onyesha walivyokuwa wanamlipa IGP kinyume na taaritiba na wakasema ni rushwa kwenye hiyo email, Leo waziri wa mawasiliano anasema uwa anasaidia fedha na makampuni ya simu , hii inaitwa nini ? MWISHO, CCM wanakataa #KatibaMpya kutokana na hoja kwamba wao ndio wanahesabu kura na Nape ameeleza hapo namna wanavyoshinda kwa halamu Tupigania #KatibaMpya kuziba haya mashimo, wanasiasa wanaongea wazi wazi wanavyotupora chaguzi, uchaguzi ni mchakato wa wananchi kuchagua viongozi wao #ChangeTanzania #WenyeNchiWananchi
38
89
36
210
38,344
RT @HecheJohn: Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape… Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua an…
29
6
kuna watu wanapiga makofi?
🚨🚨 CCM ADMITTING RIGGING‼️🚨 “Quos Deus vult perdere, prius dementat” Those whom God wishes to destroy, He first deprives of reason Minister of Communications admitting to using “semi-legal” and illegal means to win elections in #Tanzania Mungu anapoamua kukumaliza anakupiga upofu! 😃 Imagine kiongozi anaongea hadharani kutumia mbinu CHAFU katika uchaguzi na anajigamba kuwa ni mtaalam Eniwei #TutaelewanaTu
4
1
14
1,208
Hakuna shido
Hiii siku imekaa kama kuonja Konyago.. kingo ya malelio..
1
5
734
Kwasababu tunaipenda nchi yetu, tunataka tukae hapa hapa tuendelee kujiteka ndo furaha yetu.
Kwanini Watanzania wengi hawakimbilii fursa za ajira nje ya nchi tofauti na mataifa mengine ya Afrika? swahilitimes.co.tz/2024/07/k…
4
1
2
38
1,814
Sema demand ya ganja itakuwa kubwa sana kuna haja kuiangali kibiashara
1
1
1
28
2,075
Na wanajisahaugi sana kwenye hili
Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?
1
389
Sio wao tu, siku hizi kokote unakoenda ukilipa bili likibaki buku au jero wanajikausha hawarudishi
Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?
3
1
11
1,115
Kila dereva wa bolt atakuambia mia tano Sina maana wanajua utawaachia.
Aliyewaambia madereva wa bolt jero sio chenchi ni nani?
1
1
2
384