The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve) header
The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve) profile picture

To be a free people in our land

Pwani, Tanzania
Joined August 2017
Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)Photo by The Hope Innocent V Mtweve (@Innocentmtweve)
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
#TANZANIA: TLS YAJITOSA KWENYE KESI YA MJANE ALIYEHUKUMIWA MIAKA 22 KWA KOSA LA KUKUTWA NA NYAMA YA SWALA Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kanda ya Iringa wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa Novemba 3, mwaka huu na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Said Mkasiwa baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa ni kweli mjane huyo mwenye watoto wanne alikutwa na ndoo iliyokuwa na nyama hiyo yenye thamani ya Sh 900,000. Kwa kupitia taarifa yao waliyoitoa Novemba 07, 2023, mwenyekiti wa TLS kanda ya Iringa, wakili Moses Ambindwile pamoja na wakili Cosmas Kishamawe wamesema kwa kushirikiana na mawakili wengine wa mkoani Iringa tayari wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane huyo.
2
14
2,915
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amewasili katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika kiwanda cha kutengeneza mipira ya Mikono (Gloves) kilichopo Idofi Makambako mkoani Njombe ambapo Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philipo Mpango
1
1
172
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Wafilipi 2: 3 - 5 “Msifanye jambo lolote kwa ajili ya ubinafsi au kwa kujiona, bali kuweni wanyenyekevu, mkiwahesabu wengine kuwa bora kuliko ninyi. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu ajishughulishe pia kwa faida ya wengine. Muwe na nia kama ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu” Jumapili Njema 🙏🏽
37
100
7
314
35,909
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Pongezi za dhati kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, kwa kusimikwa rasmi na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Kardinali. Kauli mbiu ya utume wako ni "Enendeni ulimwenguni kote", ikiakisi mafundisho ya Yesu Kristo katika Injili ya Marko 16:15, juu ya utume unaojali watu wote, sehemu zote na wakati wote. Naungana na Watanzania wote kukuombea kheri, afya njema, na mafanikio katika utumishi wako.
262
384
27
3,173
226,506
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
BARUA: Dear Mama @SuluhuSamia, ikikupendeza, ingilia kati kuhusu kifungo cha miaka mitatu dhidi ya Mchungaji Mbarikiwa kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kuisajili open.substack.com/pub/mtumis…
2
1
1
285
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
misala mingine ya kiwack😂😂😂@Yuppy_tz umejichanganya kwa Poti mwaisa
16
48
2
337
24,189
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Msifadhaike wala Msikate tamaa. Nakuhakikishieni kwamba Karibu kuna Pambazuka maana Mungu wetu hasemi uwongo. Karibu tunafika....USALAMA WA RASILIMALI ZA WATANGANYIKA NI KIPAUMBELE CHETU.
158
361
22
2,217
106,054
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi na mmoja wa Mawakili wa waleta maombi kwenye kesi ya kikatiba namba 05/2023 ya kupinga mkataba wa Bandari amesema wanakwenda kukata Rufaa baada ya kukamilisha taratibu za kisheria kwakuwa hawajaridhika na maamuzi ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yao kupinga mkataba huo wanaoamini haukuzingatia Sheria na una ukandamizaji kwa nchi mwenyeji (Tanzania).
16
40
4
270
19,688
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
DCI Ramadhani Kingai, the man behind the leader of main opposition, Freeman Mbowe’s fabricated terrorism charges, has summoned Hon. Tundu Lissu to report to his office after Lissu criticizing Samia’s bummer ports deal with DP World. Lawyers and activists who have criticized Samia ports deal with DP World, have faced threats and unlawful arrests. DCI Kingai is zooming in to Lissu. Contunity of Magufulism without Magufuli.
4
40
2
92
9,085
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Onyesha #UPENDO kwa hawa wazalendo wakweli, Retweets nyingi kwao💯
22
586
4
1,834
69,413
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Eleweni hata leo nikiamua kuisifia mkataba wa Bandari, sitakuwa na effect maana #WenyeNchiWananchi washaamua! Sasa nakushauri @SuluhuSamia hii kitu achana nayo kabisa! Usisikilize hao washauri - wote wamefeli kukupa ushauri na kushawishi Eti influencers ni akina Kitenge na Steve Nyerere? 🤣 Hii imeenda! You will NEVER win in the court of public opinion Now you do what you want, I have done my duty 👊🏽 Ila #TutaelewanaTu
140
226
12
1,460
201,847
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Huyu mama Jaji wa mahakama ya rufani Stella E.A. Mugasha anastaili kupongezwa. Mama amepinga uvunjwaji wa katiba ya nchi kwa kumuongezea jaji mkuu muda wa kukaa madarakani kinyume na matakwa ya katiba. Mama ametaka mamlaka ya uteuzi (Rais) kuheshimu katiba ya nchi. Mungu ambariki
46
162
6
938
40,735
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Habari wa Tanzania Mimi ni mzima wa afya na wenzangu 16 waliokamatwa 19 June pia ni wazima Kabisa, Japo kuwa tunaripoti polisi Huku baadhi ya vitu vyetu Vikiwa bado Polisi kama Sim, Pesa nk Hatujanyamaza kimya ila tuliona maandamano ya kumpongeza Samia Yameruhusiwa #Tunatafakari.
40
145
7
641
31,684
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Easy Thursday.
9
5
43
2,693
The Hope Innocent V Mtweve retweeted
Retweet kwa TIBAIJUKA Like kwa KITILA MKUMBO,tuone nani yupo kwa maslahi ya tumbo na yupi yupo kwa maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho?
16
770
4
142
35,355