VIDEO:
Hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, itasomwa Novemba 6, 2026 saa tatu asubuhi, ikiwa ni baada ya majaji kupitia ushahidi wa pande zote mbili na kufanya maamuzi.
Hayo yamesemwa leo Septemba 29, 2026 na Jaji Dunstan Ndunguru ambaye anaongoza jopo la majaji waliokuwa wanasikiliza shauri hilo la uhaini namba 19605/2025.
Jaji Dunstan Ndunguru amesema kwamba, kutokana na aina ya ushahidi uliowasilishwa na pande zote mbili, wao kama majaji pia watahitaji muda wa kutosha ili mwisho waje na maamuzi ambayo yameandaliwa vyema.
Kabla ya majaji kutoa uamuzi huo, upande wa mashtaka ulikuwa ukiendelea na mawasilisho ya hoja za mwisho ambapo baada ya kuhitimisha waliwasihi majaji kuja na uamuzi mzuri, wakisema wao wamehakikisha wamethibitisha mashtaka.
Mtanganyika retweeted
I’m not a LAWYER, But HUWEZI kumshtaki mtu kwa kukuibia KOTI halafu eti umfunge kwa kukuibia KOFIA!
NB: CONVICT or ACQUIT!
#FREELISSU #LissuSioMhaini
Mtanganyika retweeted
Mgomo wa madereva leo umewakosesha pesa za mboga hawa mali za CCM maana RUSHWA za barabarani wamefanya ndio utaratibu wao wa kuongeza kipato. Wamekasirika sana wameanza na kauli za VITISHO.
Sasa viongozi wa madereva wakae vizuri, kuna kutekwa na kupotezwa.
Mtanganyika retweeted
#SamiaMuuaji kabanwa kila kona 😆 Misaada hakuna. Hawa watumwa aliowatumia kumpachika madarakani #TanzaniaMassacre #MO29 wanataka mishahara. Ame print pesa hadi kachoka, sasa anataka kukamua #wananchi, wakiwemo madereva. Tukatae. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Mtanganyika retweeted
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISSU LEO
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
Waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza” @TunduALissu
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
#FreeTunduLissu
Mtanganyika retweeted
Team NYASA mapema leo Mahakama Kuu.
Kutoka kushoto ni Katibu mkoa wa Iringa, Mkiti mkoa wa Rukwa, Makamu Mkiti BAWACHA Taifa, Mkiti mkoa wa Iringa, Mkiti Kanda Nyasa,Katibu mkoa wa Njombe, Katibu Kanda ya Nyasa,Katibu mkoa wa Mbeya na Makamu Mkiti BAVICHA Taifa…
#FREELISSU #ConvictOrAcquit
#LissuSioMhaini
Mtanganyika retweeted
Kuna jinsi ambavyo huyu jamaa amejitoa kwa ajili ya Tanzania na Watanzania….
Na ni kweli matatizo yote ya haki tuliyonayo TZ yanatokana na kundi dogo la watu………. Watu milioni 70 tunabagazwa na kuuawa na kundi halizidi watu 100.
Mtanganyika retweeted
“Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa ya maisha yangu. Msimamo huo umenigharimu sana. Umeniletea madhila mengi sana. Msimamo huo, kwa siku zilizobaki za maisha yangu, nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kuufia, nipo tayari kufa.” — Tundu Lissu, 28.09.2026
Umesahau askari uliokua wanaua ndugu zetu ilisemekana walitoka Uganda? Arudi kwanza kwao akamtoe gerezani mpinzani mkuu wa museveni , tuone haki na demokrasia kwake
Mtanganyika retweeted
Members the United States Congress visited the memorial honoring the victims of the August 7, 1998 terrorist bombing of the U.S. Embassies in Dar es Salaam and Nairobi. They joined the community in a moment of silence to remember those who lost their lives.
The United States stands with Tanzania in honoring the victims, recognizing the courage of the survivors and first responders, and reaffirming our shared commitment to peace, security, and the fight against terrorism.
































