
Geopolitics geek & @Arsenal fan with a lil banter. If you see me on TV, chances are somewhere in the world, guns have started talking & am the guy to explain.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
- Tweets70.3K
- Following2.7K
- Followers4K
- Likes205K
إبراهيم retweeted
Replying to @ManLikeFrey
@ManLikeFrey amnesty wamefanyaje? Mbona watu wana hasira nao?
Amnesty urges El Salvador to disclose terms of Haiti troop deployment
➡️ go.france24.com/bw7F
إبراهيم retweeted
Replying to @kamutonzi @ManLikeFrey
Mbona wakati anatoa speech ya kukubali kushindwa alitoa way forward ya kupunguza makundi? Uongozi mpya ulifanyia kazi ushauri wake?
إبراهيم retweeted
Kati ya FAM na Alicia Makabe na watoto wa Lisu nani alitakiwa kuwa mstari wa mbele?
إبراهيم retweeted
Mfano ukiwa mwiba kwa serikali, like mkosoaji au mwanaharakati au kiongozi wa siasa, je Mkeo au Mumeo na watoto wako nao kama hawashiriki siasa wanakuwa kwenye hatari yoyote inayoaababishwa na watawala? Like ukipata matatizo wanajificha kuja kukuona and so and so?
إبراهيم retweeted
Fuck NGOs.
But more importantly, fuck the people who give NGOs an excuse to exist. Fuck them very much.
إبراهيم retweeted
Coz 21 year old huns say they don't want 21 year old niggas who split Uber fares and share student housing. They want niggas with established careers and private transport. So men over 30 aren't "hunting" younger, they are fulfilling the economic supply curve younger women demand
إبراهيم retweeted
Kuna mengi yalitokea kati ya FAM na TAL haswa wakati wa kampeni za ndani ya chama. Tuliyoyaona mitandaoni na kwenye media ni asilimia ndogo tu ya yaliyokua yanaendelea nyuma ya pazia.
Kama FAM kaamua kutokuishi kinafiki na kuendelea na maisha yake muacheni. Alishakabidhi chama na majukumu yake yaliishia pale.
Mengine muda utazungumza.
إبراهيم retweeted
On today’s episode of useless and corrupt organizations… the UN spent $8 billion over 15 years “mediating” with Haitian gangs that ended up controlling 80% of the country. Bukele shows up for two weeks and the gangs are hiding in the woods asking the UN for mediation. Their business is charging to keep the conflict going, not ending it.
#UN #Haiti #Bukele
Durante 15 años, la ONU gastó 8.000 millones de dólares en "mediaciones" con las pandillas de Haití: Terminaron controlando el 80% del territorio.
En 2 semanas, Bukele despliega sus tropas y tiene a las pandillas de Haití escondidas en los bosques: Sus líderes piden "mediaciones" a la ONU.
El negocio de la ONU no es solucionar conflictos, es cobrar por "mediarlos".
FIN.
Very interesting statistics... The Freedom Index was compiled by those who fund it, and – would you believe it – they ended up in the blue category themselves.
Such coincidences do happen😅
إبراهيم retweeted
The Chinese are busy copying technology from America whilst Africa is busy copying moral decadence. That right there is the difference between the two races, one focuses on science advancements and the other on nonsense.
إبراهيم retweeted
Mimi nakushangaa zaidi kwa sababu you are very less informed or biased for that matter, mlitaka Burigi, Kimisi, Biharamulo yawe mapoli la kuchungia mifugo and to harbor bandits from Ug &Rw
Njia ya Benako Karagwe iendelee kuwa Tishio kwa wapitaji.
Cost to benefit analysis ya gvt expenditure haikomei kwenye namba za fedha zinazoingia, it goes beyond that.
Replying to @maxannania @ManLikeFrey
Nashangaa sana ukisema zinatumika hisia aisee.
Nashindwa kuelewa kabisaaaaaaa
إبراهيم retweeted
Pole sana, ulishakubali maridhiano, sema wenzako wenye tamaa ya fedha za wazungu wamekuchinjia baharini.
Ila usijali, kuna wengi sana utaungana nao huko Korokoroni.
إبراهيم retweeted
Replying to @RKishaija @ManLikeFrey
Namba zako (plane tak off na plane landing) hazijitoshelezi kujibu hoja ya msingi ya Matumizi ya fedha za umma (Public expenditure) as whole, Serikali haiwekezi kwenye eneo ili kupata revenue pekee au kurudisha fedha ilizowekeza in numbers especially in s short span of time.
Kilichowekezwa hapo is not for those kind of numbers to decide its benefits.
إبراهيم retweeted
Replying to @ManLikeFrey @RKishaija
Changamoto ya huu mjadala ni pale hisia zinapokuwa juu hadi kunakuwa too personal.
But to add it up, IMO chato or anywhere else in Kagera Ngara or Karagwe bado kwangu ningeunga mkono tu for any Capital investment, i mean Kagera region ina potential kubwa sana from National security tied with social-economic strategy.
Naelewa pia wanaobeza au kupinga coz ndiyo demkorasia na uhuru wa kutokukubaliana.
Mamluki kama huyu inatakiwa ajue strategic importance ya Chato airport.
Maana withdrawal ya SAMIDRC ilifanyika Chato.
Kigali should stop sending and/or using the services of imbeciles.
*argument inayovunja upunguani na ajenda zao👇🏽
teapawt.net/Kidevu_/status/2119894…




























