Joined August 2022
mobappdev retweeted
Heche amtaka Ruto kusaidia kupatikana kwa Twaha Mwaipaya bbc.in/3VXD0rh
44
233
6,172
10
112
667
16,642
mobappdev retweeted
Oh kumbe ni @godbless_lema ndiye aliyemshauri @John_Pambalu arudi Tanzania kwamba ameshaongea na Mafwele msaidizi wa Wauwaji wa ccm kwamba Pambalu atakuwa salama! Ahsante galfriend @MariaSTsehai kwa ufafanuzi huu. Unajua mambo kama haya sio ya kuficha ficha, ni kutaja hadharani
11
32
113
3,365
mobappdev retweeted
Daah alivo ikunjia kwenye uniform kama sio yeye 😂😂😂😂
43
30
3
273
25,865
mobappdev retweeted
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana. Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu. Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanaje…??? #FreeTwahaMwaipaya💔
75
141
11
729
50,356
mobappdev retweeted
Ila TAL alijua kusafisha watu.. Imagine haya makasha yalikuwa CC ya CHADEMA 😂😂😂😂
16
24
2
115
6,329
mobappdev retweeted
Dunia nzima habari ambayo inatrend ni tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya. Tuendelee kupaza sauti #FreeTwahaMwaipaya
8
173
1
555
9,701
🔥🚨LATEST: A Cleveland pastor is going viral after standing in front of her congregation Sunday and introduced her husband's second wife, calling the woman her 'sister in marriage', and the new wife was already a minister at their church.
856
467
239
1,802
314,007
mobappdev retweeted
An activist from Tanzania 🇹🇿 @Twaha_Mwaipaya has been abducted today October 25, 2026 in Nairobi, Kenya. #FreeTwahaMwaipaya @WilliamsRuto @NPSOfficial_KE @AmnestyEARO @thekhrc @OHCHR_ESARO @citizentvkenya
11
158
8
274
5,417
mobappdev retweeted
Replying to @WilliamsRuto
Please make sure Tanzanian activits @Twaha_Mwaipaya is Free 🙏🙏🙏 our country kenya should not be used as human abduction centre
1
2
117
mobappdev retweeted
#FreeTwahaMwaipaya @WilliamsRuto @SuluhuSamia Your actions are against @jumuiya treaty, African charter on Human and peoples Rights @achpr_cadhp @AUC_PAPS @ymahmoudali @UNHumanRights @antonioguterres
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
30
522
6
1,139
17,640
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
34
759
45
1,321
52,931
Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop. He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety. Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
62
816
41
1,476
129,971
mobappdev retweeted
Mkuu wa gereza kwenye maswali ya dodoso, alisema wazi mbele ya Jaji kwamba hata mahakama ikiamua yeye hataruhusu watu wala mawakili kumuona Lissu. Leo mahakama imeamua mawakili wamuone Mwenyekiti kwa faragha na waongee naw yeye amezuia, anatimiza alichoahidi wakati wa kesi. Kwahiyo mahakama ni kupoteza mda tu. Mnataka nani afuate amri za mahakama kama nyie mnazivunja.
40
304
5
1,287
32,441
Wewe ni mtu mwema sana, namuomba Mungu aonae sirini akutete na kukupigania katikati ya watesi wako.🙏 #FreeTwahaMwaipaya
12
206
5
810
10,573
natumai kokote aliko twaha mwaipaya yuko salama. pole kwa familia, na ndugu na jamaa wote, wanaoingia kwenye kipindi kigumu. natumai hakitadumu, na twaha atapatikana. tuendelee kutahadharisha kwamba kuwinda wakosoaji, hata nje ya nchi, hakulinufaishi hili taifa. inaliangamiza!
9
113
3
462
5,858
Hali ya wasiwasi inazidi kutanda mitandaoni kufuatia taarifa za mwanaharakati na kada wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA), Twaha Mwaipaya kudaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana jijini Nairobi, Kenya tukio linalodaiwa kufanyika katika barabara ya Kamulu jijini humo. Kwa mujibu wa taarifa, watu waliovalia kiraia, waliofunika nyuso zao kwa barakoa wakitumia magari matatu walilizuia gari alilokuwa akisafiria Mwaipaya, wakamshusha kwa nguvu, na kutoweka naye kwenye operesheni inayodhaniwa kupangwa mapema. Watumiaji wa mitandao na wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao kuhusu afya na mahali alipo kutokana na mazingira ya kutatanisha ya kutoweka kwake wakitoa wito wa kutaka Mamlaka husika kutoa taarifa za uhakika kuhusu alipo, kulinda usalama wake, na kuheshimu haki zake za kisheria. #KitengeUpdates
31
77
4
534
27,171
mobappdev retweeted
Mpigania HAKI MWENZETU aliekuwa ukimbizini KENYA ametekwa akiwa "Makuru". Twaha hakupenda kuwa MKIMBIZI hii ni baada ya KUTEKWA mara kadhaa akiwa Tanzania na kuteswa sana na WAKOLONI WEUSI. Twaha amekaa jela muda mrefu kwa misimamo yake ya kudai haki. Leo ANATEKWA AKIWA UKIMBIZI KENYA. WAKENYA TUSAIDIENI KUPAZA SAUTI KUMTAFUTA NDUGU YETU. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
29
305
4
856
18,522
mobappdev retweeted
#kenya 🇰🇪💔#tanzania 🇹🇿💔 @WilliamsRuto here is your message 💔 👇👇
33
86
1,239
Haya ndio makanisa ya kusali sio yale yanayohubiri miujiza na kuchukua mpaka kile kidogo alichonacho masikini kwa kumpa matumaini hewa. Asante baba Mchungaji Mungu aendelee kutubariki, kutulinda na kutuongoza katika kila hatua ya maisha yetu. Neema na rehema zake ziwe juu yetu na familia zetu daima. Amina.
5
71
2
398
10,607