salma@@ retweeted
Kuna mwanaume nimemzoea kumuona akimtumia mke wake ujumbe wa “Nimefika salama” kila siku anapowasili kazini. Hata siku anapochelewa kwa dakika tano lazima atoe taarifa. Nilipomuuliza kwa nini anafanya hivyo, jibu lake lilinifanya nitafakari sana kuhusu mapenzi na ndoa... 🤔❤️
salma@@ retweeted
Sisi wabongo tunapenda sana ku project realities zetu kama vile ndio realities za kila mtu.
Mtu unamwambia wewe unaenjoy kimoja, yeye anakaza misuli ya shingo kusema haiwezekani, atleast vitatu.
salma@@ retweeted
Hiyo nidhamu unakua nayo ukiwa huna kitu, hiyo ndio yenyewe sasa 😃
Sijui uwa inayeyukia wapi.
salma@@ retweeted
Asalaam aleikhum 🤍
May Allah guide your steps, protect you from all harm, and reward every good intention you hold today.🤲🙏
Good Morning 🌞❤️
salma@@ retweeted
Unawanunulia wazazi simu janja ili uwe una wasiliana nao kwa video calls. Kisha unakaa mjini miaka kadhaa bila kwenda nyumbani kwa kuwa mnaonana kwa video mara kwa Mara
salma@@ retweeted
Kibali cha Mungu kiwe juu yangu.
Mungu aongoze hatua zangu, athibitishe kazi ya mikono yangu na anipe hekima ya kutambua na kutumia fursa kwa uadilifu. Nisiwe mtumwa wa hofu, kujidharau au kutegemea nguvu zangu pekee. Nitembee katika neema, hekima, bidii na uongozi wa Mungu. 🙏🏽
salma@@ retweeted
Zaburi 5:12
Maana wewe, Bwana, utambariki mwenye haki; Utamzungushia kibali kama ngao.
salma@@ retweeted
Usianze asubuhi yako kwa kuhesabu matatizo uliyonayo, bali kwa kutambua fursa ambazo Allah amekujaalia. Kuwa na imani, fikiri kwa ukubwa, jitahidi kwa nidhamu na umtegemee Allah. Mafanikio ya kesho hujengwa kwa maamuzi na juhudi za leo.
salma@@ retweeted
Huyo jamaa wa Iringa aliyefariki inaonekana alikua mtu poa sana, watu wote wanamzungumzia kwa mazuri hata ambao hatukua tunamfahamu tunauona upendo aliokua nao kwa watu. Amegusa sana maisha ya wengine kwa namna mbalimbali na hivyo ndivyo inatakiwa. Farewell bwana Edo 💔 🕊️
salma@@ retweeted
Utajiri katika zama mpya haujengwi tu kwa nguvu za mikono pekee, bali kwa uwezo wa akili kutatua matatizo ya watu wengi 🤔 .
salma@@ retweeted
Unaweza ukajituma na kujitoa sana kwa watu na bado wasione umuhimu wowote wala hisani kutoka kwako ,Paka pale utakapo husisha fedha.
Kila kiumbe kinaacha heshima yake zaidi sehemu penye manufaa.
Kujaza mifuko yako ni kitu bora zaidi unachoweza kujifanyia.
salma@@ retweeted
Kabla mtoto wako hajakutana na watu wa nje anapaswa kukutana na wewe mzazi kwanza.



























