mikato_kuntu (@BongeGody) header
mikato_kuntu (@BongeGody) profile picture

โšฝ Football Enthusiast ๐ŸŽต Music Lover ๐ŸŽฌ Entertainment ๐Ÿ”ฅ Daily Takes & Discussions ๐Ÿ“Follow the Journey to

Joined March 2022
Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)Photo by mikato_kuntu (@BongeGody)
Kuna jiran yang, mke wa mtu. Mumewe anasafir mara kwa mara, hivyo yy hubak na watoto pamoja na mama mkwe wake ambaye ni mgonjwa Jana, katika harakat zake za kuchepuka, kalala nje na kuzima simu hadi leo. Asubuh kaenda kufungua duka bila kujua kuwa mama mkwe wake amefariki ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
7
9
22
5,355
mikato_kuntu retweeted
Mimi nawaogopa sana majamaa wanaokuja kukupiga mkwara dm, bora hawa wa hadharani unaweza ukapata upande wa kukutetea. We mjomba nimetii๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ Afu lijamaa limesema ole wako uipost kwa umma๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
21
18
1
90
2,421
mikato_kuntu retweeted
Kazini kwa kwangu kuna kazi nzito sana kuanzia kesho nitazidisha viambata upishi๐Ÿฅบ
15
13
161
45,379
mikato_kuntu retweeted
Usiweke simu na pesa kwa mfuko moja. Nikimaliza kulia nawapatia experience.
52
211
6
938
12,599
mikato_kuntu retweeted
PUBLIC STATEMENT
6
73
1
263
12,319
mikato_kuntu retweeted
Kumekuwa na jitihada kubwa za kutaka kuniteka na kunipoteza niwaambie @tanpol na usalama Mimi ni raia huru ambaye nimetumia hak zangu kikatiba kukosoa kushauri na kutoa maoni. Hayo yote Nimefanya wazi. Najua gharama za kupigania haki. Nipo Kwa kuyakabili hayo yote. Tutashinda.
7
40
142
1,978
Majuzi mdau mmoja alimtumia DM #Jasusi kumuomba atoe darasa la jinsi ya kuwatambua watu wa kitengo waliojipenyeza kwenye harakati. Jasusi akamshukuru mdau kwa ombi lake lakini akamwambia kuwa ameshajitahidi sana kutoa elimu ya bure kuhusu hayo masuala, na amechapisha kitabu kabisa kuhusu mada hiyo lakini huwezi kuwalazimisha watu wajali usalama/uhai wao. Katika ujasusi, huwezi kuwa salama kama huwatambui maadui zako, ndo maana Jasusi anajibidiisha mno kuwatambua hawa viumbe. Ila kwa kifupi harakati zimevamiwa. Idara ya Usalama wa Taifa sio tu imemwaga watu wake kibao mtandaoni bali pia kuna pesa ndefu ya Samia na Abduli inamwagwa kutengeneza wasaliti miongoni mwa wanaharakati. Nyakati hatari sana hizi #DutyToWarn โš ๏ธ #DutyToInform ๐Ÿ“บ #DutyToMonitor ๐Ÿ‘€ #sunday instagram.com/reel/DfeYrfGT3โ€ฆ
6
18
123
22,005
mikato_kuntu retweeted
Kwa ufahamu wako nini maana ya mafanikio?
29
20
2
79
2,723
Nimetoka kuona mwanamke akijifungua nipende tu kusema kwamba sitawahi fanya mapenzi na mwanamke mpaka akili yangu itakapokaa sawa sio kwa kile nilichokiona
25
43
239
18,759
Huyu ndo Dully ze Teja anaendesha nchi na midume mizima inashindwa kumwambia akwemdeeeer! Kweli kuanzia vyombo vya usalama hadi CCM hakuna mzalendo hata mmoja mwenye backbone (or balls) za kum challenge jamaa?? Wote wameufyata - wanatii amri zake haramu na za kipumbavu! Ila #TutaelewanaTu very soon maana Simba wa Tanganyika Tundu Lissu looked Abdul in the eyes na kumwambia โ€œgerrautahiaโ€ โœŠ๐Ÿฝ Hadi leo teja haja recover! #FreeTunduLissu
18
68
2
346
18,926
mikato_kuntu retweeted
Mimi dakika ya nne tu nimeshapuna
9
8
3
124
3,416
mikato_kuntu retweeted
Mabeki wanne DM watatu Total 7 defensive players Hapa ni dhidi ya Sunderland tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
5
10
52
965
Replying to @BongeGody
Tatizo lingine ni pale baba mmoja tu ndiye anayetunza mtoto wake. ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
1
2
1
126
Kama nilivyowaambia a few weeks ago. Wameanza kumpiga visu Heche na kuleta mgogoro ndani ya chama kama jinsi malipo ya Abdul na mama yake yanavyotaka wafanye. Watanzania huu ni muda wa kusimama nyuma ya @HecheJohn na kumpigania kwa nguvu zote. Kumpigania Heche ni kumpigania Lissu. Tukiruhusu hawa mbwa wa Abdul wakam demoralize Heche au wakammaliza basi movement ya kudai haki itafeli
34
96
3
483
23,900
mikato_kuntu retweeted
Hii inasomeka vizuri kushinda Ile ya kwanza.
6
65
1
184
3,697
Aston villa nao ni matako tu wanafanya nyumbu waonekane wapambanaji
5
441
@SportyBetTanzania Hivi mnapoweka alama hii kwenye selections, maana yake nini? kwamba mechi zimeisha, wachezaji wamecheza dakika zao zote bila kufunga na chaguo la Player Not to Score limepita? ๐Ÿค” Naomba ufafanuzi kidogo hapo!
14
2
40
4,469
TUNDU LISSU Ni Mfano Wa YESU Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
4
81
3
374
8,183
Hii game wazee nasikia imesimamishwa baada ya upande mmoja wa uwanja jukwaa kuwaangukia mashabiki. Tuwaombee wenzetu ila pole Kwa wakamalia maana muhindi kwake dakika zinaendelea kama kawa๐Ÿ˜‚
1
4
15
568
Mkifikia hatua hii kwenye ndoa kama mwanaume unatakiwa kufanya nini?
18
10
1
114
5,678
mikato_kuntu retweeted
Soka Kipanya Mdude Kaswahili Twaha Hiv jamani kwenu watekaji mnaipeka wapi nchi je toka mlipo anza kuwateka mmeweza kuzuia wasikosoe na je hamuoni mnaiiacha alama mbay nchi katika utawala huu ambao ni wazi wananchi wengi wenye akili timamu wameukata mnataka mfikishe wangapi.
4
40
1
144
2,559