Pinned Tweet
Mtandao wa Ngono: Unatokea pale mtu anapokuwa na mahusiano ya kingono na zaidi ya mtu mmoja. #Tulizana
Je wewe umetulizana? Kitu gani kimekufanya ufanye maamuzi hayo? #Tulizana
Tuko wangapi? retweeted
This 60 second TVC is funny, to the point, worthwhile and most of all memorable. Watch http://t.co/Fbgqu2D9W6 #Tukowangapi #Tulizana
Tuko wangapi? retweeted
Replying to @VanMuniko
@vanmuniko ila u can wait mwezi mmoja sio parefu, tulizana Frank...
Je, ni Sababu zipi zinazo mpelekea kijana aanze kutumia madawa ya kulevya? #WorldDrugDay
Kuangalia mapungufu huenda kukapelekea kuongeza mapenz kati yako na mpenzi wako jaribuni kuwa wazi baina yenu vunja ukimya. #Tulizana
Hii imetulia sana "kama wewe mwaminifu kwa mpenzi wako, hauwezi mnyima namba yako ya siri yako ya simu,benki, N.K" #Tulizana
Tuko wangapi? retweeted
Tuko Wangapi, Tulizana campaign inatumia social media kuhamasisha mabadiliko ya tabia kwa jamii #Feminasocial
Tuko wangapi? retweeted
KOMBE LA DUNIA NA MICHEPUKO ...WAPI NA WAPI ??...**Michepuko ipo kila siku**
#TULIZANA_UKIMWI_NOMA... fb.me/2ST5GEq8G
Je ushawahi kumshirikisha mwenza wako mgawanyo wa mali na kwenye kipato chako? @mkandamizaji @JideJaydee @barbarahassan @millardayo @ZEMBLA
Je kati yenu kwenye mahusiano nani yupi anawaza kutunza na kufanya mambo ya maendeleo ikiwa amepata kipato chake?
Tuko wangapi? retweeted
Wastani wa umri wa kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 50 kwa sensa iliyofanywa 1988 hadi kufikia miaka 61 kwa sensa ya 2012.
Replying to @deohugo
Ukurasa wetu wa Facebook unamazungumzo mbalimbali kila siku tukiwashirikisha watu kuzungumzia mahusiano @deohugo @iTanzania_i @AnnieTANZANIA
Replying to @deohugo
Kwenye akaunti za kijamii tupo twitter na pia tuna ukurasa wa Facebook facebook.com/tukowangapi.tul… @deohugo @iTanzania_i @AnnieTANZANIA
Replying to @deohugo
Tunaendesha kampeni nyingi sehemu mbali mbali, tukisisitiza umuhimu wa ku #tulizana @deohugo @iTanzania_i @AnnieTANZANIA
Tuko wangapi? retweeted
Replying to @TulizanaTz
@TulizanaTz
Michepuo ni chanzo cha kupunguza matumizi nyumbani,kupoteza mda na chanzo cha kuongeza msongo wa mawazo. #HATARI_KWA_AFYA
Tuko wangapi? retweeted
Hebu jiulize,Je,mahusiano yako yana hali gani?Mpo wote Njia Kuu au mwenzio yupo nusu nusu?! #BakiNjiaKuu Epuka Ukimwi









