
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania 🏆 A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers27.9K
- Likes269K
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
TUNDU ANTHIPAS MUGHWAI LISSU Ni Copy Ya MTIKILA Kwenye Lile Bunge La KATIBA Wakati Tundu Lissu Anamwaga Moto Kama Dragon MTIKILA Alikua Anatabasamu Tu Huku Anatikisa Kichwa Kuashiria Kuukubali Mziki Wa LISSU. Mtikila Apumzike Kwa Amani Na TUNDU LISSU Mungu Amlinde Huko Gerezani.
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
🧐 Si kwa ubaya ila kwanza Nape angefocus na afya yake something is not ok hapo - mambo ya wanaharakati angemwachia Kihongosi!
Kwa kifupi si kila mwanaharakati ni mwanasiasa
Ila mwanasiasa asiye mwanaharakati si mwanasiasa wa kweli bali mjasiriamali wa siasa
So sisi wanaharakati lazima tuwavuruge na tuchukiwe na wajasirianali na madalali wa siasa
#MimiMwanaharakatiNajivunia
#FreeTunduLissu
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Mwaka huu wanaowatumikia mafedhuli wataisoma namba. #SamiaMustGo #CCMmustGo
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
HUKUMU YA MTU MMOJA AU TASWIRA YA MFUMO MZIMA? Uchambuzi wa hali ya kisiasa nchini baada ya hukumu ya mhe. Tundu Lissu 👇🏿👇🏿
mwanadikala.com/post/hukumu-…
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Leo nilikuwa na huzuni sana, ila baada ya kusoma COMMENTS moyo wangu umepata furaha kubwa mno!
Kumbuka hii ni sampuli ya comments walau 30, kwenye 2000+, na 97.23% tunaongea lugha moja.
WATANGANYIKA bado kidogo, ukombozi unakuja.🙏🏾
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
‼️WHYVTUNDU LISSJ SHOULDN’T SPEND AN EXTRA HOUR IN JAIL‼️
Tundu Lissu was charged for treason and this panel of judges was specifically looking at whether Tundu Lissu committed treason!
The prosecution failed to prove the charge of treason; however, the judges ruked that Lissu’s statement
amounted to incitement - which was not part of the trial! Consequently, the
Judges SUBSTITUTED the treason charge with incitement! It’s unlawful to convict a person of an offence which isn’t an alternative verdict to the offence of treason and wasn’t on the indictment as an alternative. This is simply ILLEGAL! .
This is utterly UNACCEPTABLE and shows how compromised the police and the courts are.
But also the judges didn’t adhere to the sentencing guidelines and precedents in this case!
When sentencing Tundu Lissu for incitement, the judges should have adhered to the guidelines that state that a fine should be considered first rather than prison! They knew Lissu’s fine would have been raised immediately! They DELIBERATELY ignored this!
Also the 19-20 months Lissu has served awaiting verdict MUST be deducted from his sentence according to the guidelines!
In summary: overall the entire verdict needs to be overturned and Tundu Lissu released as a free, innocent man! He also needs to be paid reparations!
#FreeTunduLissu
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Ni Jaji wa Serikali, anatumika ktk mambo ambayo serikali inayataka.
Licha ya kubeba hukumu iliyoandaliwa na serikali na kuisoma ili kumuumiza Lissu; huyu pia ndie aliyetoa hukumu wa kesi ya mkataba wa DP WORLD na kuachia bandari yetu.
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
🚨HUYO SIO MWANAHARAKATI NI TAJIRI NAMBA 2 ROSTAM AZIZI
Anajua michezo ya serikali katili ya CCM na uhuru wa mahakama haupo Tundu Lissu anapambana na crook’s wanaotunga sheria tumuunge mkono tutashinda
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Zingatia neno “Mwanaume yupo mmoja tu ambae ni Tundu Lissu”
This quoted post is unavailable.
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Sio tu Lissu hakupaswa kuwa gerezani, Lissu hakupaswa kukamatwa kabisa. Sote kwa pamoja tusema LISSU HANA HATIA & hukumu ni ya MCHONGO.
LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA.
#FreeTunduLissuNow
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Hukumu ya lisu ni ya mfukoni kwa mtu aipo kwenye sheria yoyote ya nchi hii👇👇👇👇✌️✌️✌️💯 sikiliza hii
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
Jana wakati nasema Nduli Idd Amin Mama kafinya internet watu wawashe VPN ili wafuatilie kesi machawa na vibaraka Nduli wakaanza kunishambulia kwamba nasema uwongo.
Haya ushaidi huu hapa.😂
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
We condemn the Tanzanian judiciary for convicting and jailing @TunduALissu for a crime he wasn’t charged with and had no opportunity to defend against.
Shouldn’t @TunduALissu be released on the basis of “time served” even on the fake incitement sentence so that he can conduct his appeal from outside? The pre-trial detention he has been subjected to is equivalent to 5 years already.
Let us demand that Tundu Lissu must be freed. #FreeTunduLissuNow
We condemn the judicial ambush of CHADEMA Chairman Tundu Lissu, whose acquittal on capital treason was immediately followed by a four-year prison sentence for incitement. This is a grave assault on the rule of law and a calculated attempt to silence the demand for democratic reforms.
The United Green Movement (UGM) Party led by @dkmaraga stands in unwavering solidarity with Tundu Lissu, his family, CHADEMA and the people of Tanzania in their struggle for democracy, justice and constitutional freedoms.
We remain steadfast in our commitment to democratic liberation across our Jumuia. No amount of state terror, cross-border abductions or political imprisonment will stop the march for Mageuzi.
The march for Mageuzi cannot be jailed!
Read the full statement below.
Kumekucha!
@TunduALissu @ChademaTZ2 @USAmbTanzania @TitoMagoti @HecheJohn @MariaSTsehai @judiciarytz @kattoloo @NetoAgostinhoMP
#UGMParty #TunduLissu #Mageuzi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
#TajiriLaKihaya
Jamaa kawaza mbali saaana🙌🏽🙌🏾
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweeted
TUWEKE REKODI SAWA:
Siku ya tarehe 6/11/2026, Wakili Msomi Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Jeshi la mtu mmoja, AMEISHINDA CCM, Serikali & Mahakama huku akiwa AMEFUNGWA MIKONO kwa nyuma.





























