ian justine (@ianog69) header
ian justine (@ianog69) profile picture

Love 🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2021
Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)Photo by ian justine (@ianog69)
ian justine retweeted
🇹🇿
55
63
7
1,383
47,399
ian justine retweeted
Ulikuwa ni wakati mwema na Wanawake wafanyabiashara wa Korogwe. Asanteni sana matajiri wangu, wanawake jeshi kubwa!!!!
37
44
4
581
26,834
ian justine retweeted
Ilikuwa mwezi wa Agosti mwaka 2018 Tarehe 7 siku ya Jumanne nilipokutana kwa mara ya kwanza na Mwanahamisi Yusufu Sadikuli. Hii ilikuwa ni baada ya kupokea barua kutoka kwake akiwa bado ni mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Chanzige B, Kisarawe. Wakati huo, nilikuwa ndio kwanza nimepata uteuzi wangu wa kwanza wa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe katika Mkoa wa Pwani, nikiwa nimetoka kuapishwa Tarehe 3. Kwenye barua yake aliomba nitembelee shule yao na kupokea changamoto zao. Kiukweli nilivutiwa sana na ujasiri wa huyu Binti kwa kumuandikia DC lakini zaidi wa kutaka fursa ya kwake na wanafunzi wenzake kujadiliana masuala ya ustawi wao pale shuleni. Niliitikia wito na nikafika shuleni kwao na kuwasikiliza. Kilikuwa ni kikao Kizuri. Nitumie fursa hii kumpongeza Mwalimu aliyehariri barua yake na kumtia moyo ailete ofisini kwangu. Wengine wangeweza kumzuia huyu mwanafunzi. Alifanikiwa kumaliza darasa la Saba na kufaulu kwa alama ya A na kuchaguliwa kwenda kusoma sekondari. Wiki iliyopita huyu Binti wa Kisarawe, Pwani alifika ofisini kwangu, Korogwe. PS wetu ofisini alikuja na kunijulisha kuna binti kutoka Kisarawe amekuja kukusalimia, nikasema sawa. Alipo ingia ofisini sura yake ikanijia. Nikamuuliza umekuja kufanya nini akasema amekuja kusema asante. Kipindi kile mwaka 2018 nilimtia moyo na kumpa ujasiri wa kupambania elimu yake na kidato cha nne amefaulu kwa kupata division 1.10 na anapambana asome PCM ili awe mechanical engineer. Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni mwaka 2018 nimefurahi kumuona tena mwaka huu akiwa amepiga hatua kubwa kwenye safari yake kitaaluma. Safari ya Mwanahamisi ni uthibitisho wa nguvu ya azimio na kuweka jitihada katika kile anachofanya. Hadithi yake ni mfano bora kwamba wasichana wadogo, wakiwa na nidhamu ya kujifunza na kujiendeleza, wanaweza kuvuka vikwazo na kutimiza ndoto zao maishani. Lakini pia tusiache kushukuru na kusema ASANTE kwa wote ambao wanakuwa na mchango kwenye safari yetu ya maisha, Tuwakumbuke!!! Shukrani ya kimya haitumikii mtu yoyote!!!
35
34
2
447
38,621
Mh upewe maua yako sasa @jokateM tafsir nzur ya kiongoz ni kuwa miongoni mwa wananchi na kuweka mamlaka pembeni na kutumia Upendo/hekima n.k tendaji wako ni zaidi ya kimamlaka ni upendo : sikuwahi onahi popote wew ni shuja chaguo la Raisi wetu @SuluhuSamia @ikulumawasliano
1
19
i’m in Tanzania nyagwanda sijaona soon Dareslam🇧🇫
2
134
Nitakuja #SimbaDay2023 sitaki kuona mtu anashuka na kamba 🫡 Zaidi yangu Amri
173
I’m coming Tanzania 🇹🇿 soon
1
7
544
😂😂😂😂
440
KUTOKEA KOROGWE, TANGA 📍LIVE NA DC JOKATE MWEGELO ON GOODMORNING . Kuelekea Kuupokea Mwenge wa Uhuru ndani Ya Wilaya Ya Korogwe Kuanzia Juni 15, 2023 . Usikose Kufuatilia Mahojiano Maalumu na Mhe. @jokateM ( Mkuu wa Wilaya Ya Korogwe ) Kesho June 14, Kupitia #GoodMorning ya @wasafifm . Moja kwa Moja Wilayani Korogwe Mkoani Tanga 📍. Kuanzia Saa 11 Alfajiri ON @wasafifm @wasafitv na Youtube | WASAFI MEDIA ; Na @Gerald_Hando #salmadacotha @2CharlesWilliam @Zembwelabeberu & @mshambuliaji #MwengeWaUhuruKorogwe. – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
73
6,109
ian justine retweeted
Live from Korogwe 🤝
Kesho asubuhi tutakua na mahojiano na Mhe. @jokateM hapa Korogwe, Tanga. Usikose kutufuatilia kupitia @wasafifm @wasafitv. Cc. @mshambuliaji
11
4
110
8,154
ian justine retweeted
THIS IS KOOGWEEEE 🙂🫡 WANANCHI WA KOROGWE TUPO TAYARI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU 2023 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 #MwengeWaUhuru2023Korogwe #TunzaMazingira #OkoaVyanzoVyaMaji #KwaUstawiWaViumbeHaiNaKwaUchumiWaTaifa 🇹🇿 Shot By @directorivan_ 🎥 🎞️ 📸
6
7
44
3,982
ian justine retweeted
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wetu Mpendwa wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Imani yetu iko kwako. Tunashukuru kwa uzalendo na maono yako, hotuba yako ya ufunguzi wa Baraza la Biashara (TNBC), leo imesheheni maono makubwa, kuanzia suala la kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara kwa Sekta binafsi, kuunganisha mifumo ya TEHAMA kwa Sekta za Umma na hamasa yako ya ujenzi wa Hoteli kwa ajili ya kupokea Wageni wa Utalii wanaokuja kwa wingi Tanzania, hakika vyote ni vitu muhimu kwa ustawi wa Nchi yetu. Korogwe tunaahidi kuendelea kuunga mkono maono yako haya kwa vitendo kwa kuwezesha biashara kufanyika na uchumi wa nchi yetu kukua kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya Watanzania 🇹🇿 Korogwe tunasema Kazi Iendelee 🤝
111
26
4
424
60,858
ian justine retweeted
7
8
1
79
7,439
ian justine retweeted
Umeshawahi kuona mama mjamzito akitimka mbio? Huenda ukamuona Kooogwe 🤰🏽🙋🏽‍♀️🇹🇿 Leo tunazindua Mbio za Akina Mama Wajawazito Korogwe. Fuatilia vyombo vya habari kwa maelezo zaidi. #MamathonKorogwe #MwendoWaMamaKorogwe
14
21
2
182
15,198
ian justine retweeted
Tuepuke Matapeli wa kwenye mitandao. Hiyo sio namba Ya Afisa Ustawi wetu na hatuna mtu wa jina hilo. Wakati wengine wanaumia na kuguswa kwa bahati mbaya wengine wasio na utu wanatumia hili kama mwanya wa kuibia wenzao. Inasikitisha sana. Cc @TCRA_Tz
21
12
3
74
16,920
ian justine retweeted
Huyu ni mtoto aliokotwa katika kijiji cha Kwenangu, Kata ya Mkumbara. Alitupwa na mama yake mzazi baada ya kuzaliwa majira ya saa 7 Usiku nakuoneka na wanakijiji majira ya saa 1 asbh Tarehe 16/5/2023 nakukimbizwa katika kituo cha Afya Mkumbara ambapo alipatiwa matibabu na baadae majira ya saa 11 jioni alihamishiwa Hospitali ya a Wilaya ya Magunga katika Kitengo cha kuwahudumia watoto NICU ambako aliendelea kupata matibabu na sasa Afya yake imeimarika na leo tarehe 23/5/23 anapelekwa kituo cha kulelea watoto yatima Ilente kilichopo wilayani Lushoto kwaajili ya malezi. Mtoto amepewa kina la Brigita Ustawi Korogwe, jina la DMO Korogwe Vijijini. Wakati Wanawake wengi wakiwa wanatafuta watoto wapo ambao Mungu anawabariki kupata watoto lakini wanawatupa. Niwasihi nafahamu kuna stress nyingi zinaambatana na kubeba mimba na hata malezi. Lakini baraka aliyotupa Mwenyezi Mungu ya kuleta kiumbe chake duniani kwangu Mimi naona ni thawabu na zawadi kubwa mno kuliko changamoto tunazopitia Kama wakina mama. Tukaze mwendo Mungu mwenyewe huleta baraka zake kupitia hawa Malaika na vizazi vyetu. Nichukue fursa hii kuwapongeza madakatari wote na afisa ustawi wa jamii kwa kuokoa maisha Ya mtoto huyu wa kike ambaye naamini kwa ku-survive msukosuko huu Mungu ana sababu kubwa sana nayeye huku duniani. Kwa atakayeguswa kuchangia mahitaji ya mtoto tafadhali wasiliana na Afisa Ustawi wetu wa halmashauri ya Korogwe Vijijini kupitia namba hii +255 712 275 585
128
133
14
1,704
166,671