JLG retweeted
Data Analytics from Zero to Expert Free Course 😱🤯
A Complete Udemy Paid Course for Free
Limited Time (24 Hours Only)
This course covers:
- Excel
- SQL
- Tableau
- And many more.
Simply:
1. Follow me to get the link
2. Like and repost
3. Type "All" to receive the link in a DM
🔥 Big upgrade just dropped!
Seedream 4.5 has arrived — now driving APOB AI’s Ultra 4K generation mode.
What’s new?
✨ Ultra-sharp, richer 4K visuals
✨ Full Real
✨ Built for influencers, brand videos, fashion, and immersive storytelling
Try it here 👉 mega.apob.ai/Lupin
JLG retweeted
All Paid Courses (Free for First 4500 People)
𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 2)
🎯 Social Media Marketing Course
🎯 WordPress Development Course
🎯 Facebook Ads Course
🎯 Search Engine Optimization
🎯 Email Marketing Course
🎯 Amazon Business
🎯 Fiverr Freelancing Course
🎯 Graphic Designing
🎯 Video Editing Course
🎯 Ecommerce Business Course
🎯 Drop shipping Course
🎯 Shopify Course
🎯 Web Development & Design.
🎯 And Many More
Applicable only for First 1500 People
To get Simply:
1) Repost & Like
2) Comment "Need" to receive your copies.
JLG retweeted
All Paid Courses (Free for First 4500 People)
𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 2)
🎯 Social Media Marketing Course
🎯 WordPress Development Course
🎯 Facebook Ads Course
🎯 Search Engine Optimization
🎯 Email Marketing Course
🎯 Amazon Business
🎯 Fiverr Freelancing Course
🎯 Graphic Designing
🎯 Video Editing Course
🎯 Ecommerce Business Course
🎯 Drop shipping Course
🎯 Shopify Course
🎯 Web Development & Design.
🎯 And Many More
Applicable only for First 1500 People
To get Simply:
1) Follow @Nas_tech_AI (So, that I can DM)
2) Repost & Like
3) Comment "Need" to receive your copies.
JLG retweeted
Kwanini kwenye ile orodha ya uharibifu hakuna idadi ya vituo vya kupigia kura?😛
Sababu ni kwamba ukisema vituo vya kura 1000 vimechomwa watu watahoji huo uhalali wa uchaguzi unatoka wapi kama vituo vimechomwa😃
JLG retweeted
Kwangu Mimi Hii ni Kama DockMental, @bbcswahili hapa Wamejitahidi sanaaa..
Kuelezea kilichotokea Tarehe 29 Oktoba.
Kama BBC walivyosema Vyombo vya Habari vya TANZANIA vinaongopa Kulipot Taarifa Hizi Kwasababu wana Hofu ya Kupotezwa na Vikosi vya USALAMA.
JLG retweeted
Hivi zaidi ya hii
#FREEKIDUKU
Hatuwezi kwenda mbali zaidi kwa kutafuta mwanasheria na watu tukachanga asimamie show? Kwanza kabisa naamini kosa lake linadhamana hivyo alitakiwa awe nje huku kesi ikisikilizwa.
JLG retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 8
Anaendelea Mhe. Lissu
Katuga jana anasema mahakama ilikuwa inapewa sababu na mahakama inaamua.
Sasa nimwambie Katuga S. 265 inasema sababu zinazohitajika ni za mahakama na sio za wakili wa serikali.
Alipaswa kutuambia mahakama ilisema nini wakati inaahirisha na sio Katuga aliiomba nini ili mahakama iahirishe.
Ni anakili kuwa mahakama haikuwa inatoa sababu ila sababu zilikuwa ni zake.
Hakuna mahakama imezifanya hizo sababu kuwa zake na kuzitoa yenyewe.
Wakili wa Serikali Mkuu, Katuga anasema utaratibu uliofanywa na Hakimu Kiswaga na yeye kuandika amri zake nje ya amri zilizotolewa na Jaji Mtembwa.
Sasa naomba niseme kwamba kuna ukiukwaji wa sheria hasa kwenye committal proceedings zinajumuisha proceedings za sect. 194 za witness protection measures.
Nilisema mtakumbuka effect ya mahakama kutoa amri ya kuficha mashahidi.
Amri ya Jaji Mtembwa hakikisheni mnaficha utambulisho wa hao mashahidi. Sasa clearly S. 194(2) cha CPA hakikuzingatiwa.
Sasa wao wamenipa nyaraka ambazo zina ninafanya niwafahamu hao mashahidi.
Kanuni ya 8 inasema endapo amri ya ulinzi imetolewa nyaraka zote zinazohusiana na amri ya ulinzi vitaambatanishwa na kupewa mtuhumiwa.
Sasa committal proceedings zilitakiwa kuendeshwa kwa mujibu wa amri ya Jaji Mtembwa na sio amri ya Franco Kiswaga PRM.
Amri ya ulinzi ya Jaji sio ya Franco Kiswaga. Ieleweke hivyo.
Waheshimiwa majaji wakili wa serikali sikuonesha sheria iliyovunjwa?
Sasa nilipaswa kuonyesha nini zaidi ya haya?
Kwa kumalizia hiyo hoja, Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu haikuwa na mamlaka yoyote once the high Court made six orders the commitall Court was duty bound to respect and act in accordance with the High Court directives.
Sasa mahakama kuu itaendeleaje kwa kutumia committal order ambayo haikuzingatia amri ya mahakama kuu.
Magistrate should not in this country have power to vary orders of superior courts.
Wakili Kiswaga sorry Wakili Katuga.
Alisema kwani kulikuwa na shida gani kwa mahakama kufunga live streaming wakati yenyewe ndio iliyotuhusu hiyo live streaming.
Kwahiyo tulipata kwa ufadhili wa mahakama na na imeondoa kwa ufadhili huo.
Rekodi ya tarehe 13 au 18 nilisema pale Kisutu kuwa wayu wa nchi hii wana haki ya kikatiba kuona kinachowahusu. Kesi ya uhaini niliwaambia juzi kuwa they come once every two generation.
Nilisema juzi kuwa kwenye katiba yetu inasema kwamba kosa kubwa kuliko yote ni kosa la uhaini.
Mahakama ya hakimu kisutu iliombwa ikakubali na yakatangazwa karibu miezi miwili.
Anaendelea Mh. Lissu Mahakama kuu haikukataza live streaming, haikukataza publication of the proceedings. Hayo hayakukatazwa.
Yaliyokatazwa nilishasema na anayataja hapa kutoka kichwani amezikalili zozote.
Sasa haya ya kisutu yalitokea wapi? Kiswaga alisema ukisema hata kwenye social media utaenda jela. Sasa wapi Mtembwa alizungumzia watu kupost kwenye mitandao.
Amri ya Kiswaga ilikuwa kinyume na sheria na kinyume na amri ya Mtembwa.
Sasa kila saaa tunasikia hilo tu, hiyo tu. Ndio tufute proceedings yote? Wanasema hivyo.
Sasa naomba tuelewane kuwa tunapaswa kuziangalia hizi irregularities that was very systematic.
If that was the case mahakama kuu haiwezi kuassume hizi records za namna hii.
Waheshimiwa Majaji naomba sasa nizungumzie yale maelelzo ya mtuhumiwa.
Wakili Kiswaga ala samahani sana. Alisema huo utaratibu wa s. 263(4)(5) ya CPA unahusika pale mtuhumiwa anapokiri kosa tu yaani admission au confession.
Kwamba baada ya kukiri asomewe hayo maneno yake ili aongeze hayo maneno ndio anasema hivyo.
Kwa vile mimi sikukiri kosa kwahiyo hakukuwa na sababu ya mimi kupewa nafasi.
Kwa maneno hayo nashukuru upande qa jamhuri wanakubali kuwa hayo masharti hayakufuatwa.
Na hayakufuatwa kwasababu sikukiri kosa.
Part 9 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba repost yako kwenye tweet hii.
JLG retweeted
Akuna watu wamechanganyikiwa kama hawa,
Thaman ya timu yao 100B.
Hivi hii Nchi kwann tunapenda sana kuongopeana.
Hayaa timu ina 100B lakn hawana uwanja wa 20B izo ni akil au matope?
JLG retweeted
Polepole anaendelea kumwaga mchele kuhusu Rostam Aziz na anavyotuibia kwenye mgodi wa makaa wa mawe.
@MariaSTsehai @Sativa255 @lifeofmshaba @EduTalkTz @ClubMagufuli
JLG retweeted
Hivi Tanzania tuna vyombo vya habari kweli?
Alichoongea Polepole ambae mnajua kabisa kwamba alikua competent authority kwa mambo aliyoyasema.. alikua mjumbe wa cc wa ccm na katibu mwenezi Taifa , amekua Balozi na vyeo vingine.
Hamjaandika wala kukitangaza kwenye tv zenu kama habari.
Lakini majibu ya Tume na Nida kwa Polepole mnayatangaza na kuyaandika!!!
Mnamtangazia nani wakati mmemnyima fursa ya kusikia ya upande mmoja?
What a shame!
Huu ndio Ueledi kweli? Mnasaidia ccm kuua Nchi yetu, kuficha uovu na uchafu…
Hata kama mazingira ya kufanyia kazi ni magumu. Lakini Nchi yetu ni muhimu kuliko kuogopa kufungiwa au kunyimwa matangazo..
Tutarejesha uhuru wa Habari Tanzania.
#NoReformsNoElection
JLG retweeted
NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI
Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi
JLG retweeted
Ukimskiliza huyu OCD unaweza kudhan ni Mwenezi wa CCM maana bila hata aibu anajitapa kabisa vile kaumiza Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake.
NB. Huyu mgombea ambae OCD anamzungumzia kwamba amemkamata yeye na wafuasi wake ni @AdvMahinyila wakati anagombea Udiwani 2020 kata ya Berege, Mpwapwa.
Wakili Mahinyila alishinda Udiwani kata ya Berege kwenye Uchaguzi wa 2020, Polisi walipoona mgombea wa CCM ameshindwa kwenye sanduku la kura wakapiga wafuasi wa Chadema mabomu then msimamizi wa Uchaguzi akamtangaza mgombea wa CCM ambae kimsingi Wananchi walimkataa kwenye sanduku la kura.
Maeneo mengi nchini wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge na Udiwani walitendewa kama alichotendewa Wakili Mahinyila ndo maana Mara hii CHADEMA tunasema #NoReformsNoElection Ili kukomesha haya mambo ya kipuuzi kwenye CHAGUZI
JLG retweeted
Replying to @privaldinho
Kwanini mnaihusisha Taasisi Young African na chama cha siasa. Kesho akija mdhamin ambaye Yupo ACT maanake tutakuwa tunachangia ACT.
Mnatumia ofisi yetu ya YANGA kwa manufaa yenu binafsi ya kisiasa.
HUO NI UBINAFSI NA KUKOSA WELEDI NA NI MATUMIZI MABAYA YA OFISI

























