Lema amenusa hatari lakini Heche ameamua kunusa uenyekiti wa CHADEMA kwa gharama ya Tundu Lissu kuendelea kukaa jela, Heche anatumia matatizo ya Lissu kutaka kufanya Mapinduzi dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye Sababu Kuu ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Kunyongwa mpaka Kufa
NAITWA JUMA LOKOLE KIOO KIKUU CHA JAMII BOSS WAKE NI DIAMOND PLATNUMZ MMILIKI WA WASAFI FM PIA RAFIKI YAKE BABALEVO.. KAMA UNA MTOTO WA KIUME OGOPA SANA KUMKUTANISHA NA MTU HUYU UTAJUTIA MAISHA YAKO
1
72
BABALEVO ANAMZALILISHA MTUMISHI WA SERIKALI (TRA) AMBAYE YUPO KAZINI KISHERIA KISA KUMTETEA RAFIKI YAKE OMMY DIMPOZ KWA KOSA LA KUINGIZA GARI KWA NJIA YA WIZI NA BILA KULIPA KODI KUHUJUMU UCHUMI.. HUYU MBUNGE ACHUNGUZWE🗑🚮
170
Heche sasa una Pesa gani za kununua Ngombe wote hao kama sio wale walioibwa siku ile kwenye mkutano Katoro
26
MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi John Heche yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito na ufuatiliaji unaostahili.
Wanachama wa CHADEMA wanapaswa kutambua kuwa kumpenda kiongozi hakumaanishi kupuuza maswali yanayohusu uwajibikaji wake. Vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kiongozi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu. Hivi karibuni wameibuka watu kadhaa wakijaribu kumtetea Heche kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili ikiwemo kukwapua fedha za michango ya tonetone. Hili halipaswi kuupuuzwa kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo inaweza kuwa propaganda tu ya namna ya kulindana lakini ukweli utabaki palepale.
Tuhuma za ukwapuaji fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huyayuka bila maelezo.
Hili ni jambo baya kwa mustakabari wa CHADEMA na halipaswi kufumbiwa macho, maan John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA viongozi huwa wanalindana.
35
🤣🤣Ngoja nikae kimya Mie.. Mtu anachangia Chadema huku mama yake anashinda njaa, anachangia Chadema Heche anajenga Nyumba ya milioni 900 wewe uliyechanga unaishi nyumba ya kupanga🤣 wazazi wako wanaishi kwenye kibanda cha makuti🤣 Wajinga ndo waliwao siku zote












