simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) header
simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) profile picture
Kigoma, Tanzania
Joined February 2016
Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)Photo by simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz)
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Hatuwezi kusahau jinsi Dodoma ilivyokuwa pori, Asante sana Rais Samia Suluhu Hassan leo Dodoma ni jiji! Karibuni Mtumba. #KaribuMtumba
1
17
20
749
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mijitu mizima isiyo na wake ni shida sana Kitendo cha kanisa katoliki kukusanya watu kanisani kwa kile walichosema ni kuwahifadhi halafu wakaaita wahuni na kuwachinja kinyama watu wale kilikua kitendo cha kikatili sana Katoliki kuchochea ukatili ni jambo ka kawaida sana Hivi ni nani aliewaambia kwamba leo kutakua na mabomu?
9
1
2
7
2,778
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Replying to @mangekimambi
@mangekimambi @MariaSTsehai @ChademaTZ2 @HecheJohn mmeona Watanzania halisi walivyo?? Hao ndo watanzania sasa ambao kazi kubwa ni kusikiliza na kupuuza, kukuaminisha kwamba tupo pamoja na wewe lakini kiuhalisia wanakung’onga kisogo… Mmetumia kila aina ya utapeli na uongo kuwaaminisha kuwafanya watoke tena jana trh 29 lakini wamekataa ni kwasababu wamechagua Amani badala ya vita, busara badala ya matusi yaani hao ndo watanzania Bila Shaka mmepata la kujifunza kutokea hapo mapambano yenu ya X, Instagram, TikTok huko kukesha live na wanaharakati uchwara mkaamini kabisa kwamba watu jana wangetoka ooh🤦🏿 Kanisa Katoliki halijaanza jana mjue na haliendeshwi na mihemko ya wanaharakati Kama ambavyo @ChademaTZ2 wamesahau Kama wao ni Chama cha siasa wana sera, ilani zao wamekubali kuwa Mbuzi wa Mange na Maria wanachotaka wao na wao ndo wanafanya 😀😀 misa imefanyika na hayajatokea mliyotaka yatokee pyee 😝😝 Tafuteni tu kazi za kufanya maana Hakuna Mtanzania anayeweza kuwasikiliza tena wakati nyie hata mlipo hamjulikani… Huyo bibi wa Taifa aendelee tu kulambaaa koni za wazungu na wewe endelea kuosha makalio ya wazungu 🤣🤣🤣🤣
2
6
12
925
simpleetz™🇹🇿 retweeted
4
26
45
4,772
Dodoma ilitangazwa kuwa makao makuu miongo kadhaa iliyopita, lakini utekelezaji kamili umeonekana kwa kasi katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia, kuanzia Ikulu ya Chamwino hadi Mji wa Serikali Mtumba. Hii ni hadithi ya ahadi iliyogeuka kuwa kitendo kinachoonekana na⤵️
1
8
9
126
HATUWASAHAU HAWA MAHARAMIA
18
17
1
40
4,598
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Maskini Wanaharakati Wanatia Sana Huruma Leo Baada Ya Mipango Yao Kufeli, Unawaamini Wa Tanzania Ni Sawa Na Kumdhami Shuka Mmasai 😂🫵
18
24
2
62
9,157
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mamilioni ya wakatoliki wakiwa njiani jijini Arusha wakiwa wamepanda bodaboda na bajaji wakielekea kwenye Kanisa la FR KITIMA kushiriki Misa takatifu iliyotangazwa na itafanyika leo, hakika FR. KITIMA anapendwa hadi waumini wengi wanajitokeza hadi Kanisa linakaribia KUPASUKA
14
4
20
3,939
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Kuna watu wanahisi nalibeza Kanisa Katoliki HAPANA mimi nina shida na FR Kitima, mzee analiingiza Kanisa kwenye siasa imagine Kashawishi Maaskofu wafanye ibada Alhamis ilhali sio siku ya Ibada, ibada maalum huwa zinafanyika Jumamosi na Siku za sikukuu kwenye Jumuiya na Parokia.
113
6
7
50
13,658
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Yani eti nikae, nianze kuwakumbuka na kuwalilia hawa wezi wa mitungi ya gesi kmmke zao🚮
36
21
4
78
15,475
Serikali awamu ya sita yafanikiwa kuongeza Idadi ya Hospitali nchini Idadi ya hospitali nchini Tanzania imeongezeka kutoka 404 mwaka 2021/22 hadi 475 kufikia Machi 2026, hatua inayoonesha kuimarika kwa miundombinu ya afya. Serikali sasa ina Hospitali 28 za Rufaa za Mikoa, huku hospitali 10 mpya za Rufaa za Mikoa zikijengwa na hospitali kongwe 50 zikifanyiwa ukarabati. Hatua hizi zinaongeza upatikanaji wa huduma za afya na kupunguza umbali kwa wananchi wanaohitaji huduma za kibingwa.
11
16
487
MAREKANI YAPUNGUZA ONYO KWA SAFARI ZA TANZANIA. YATHIBITISHA NI SALAMA. Serikali ya Marekani imepunguza kiwango cha onyo kwa wasafiri wanaokuja Tanzania kutoka kiwango cha 3 (Fikiria Upya Safari) hadi kiwango cha 2 (Chukua Tahadhari), kuanzia tarehe 16 Oktoba 2026. Hatua hii imekuja wakati sekta ya utalii nchini Tanzania ikirekodi mapato ya dola za Marekani bilioni 4.41 mwaka 2025.
7
10
435
HIFADHI YA DHAHABU YA BENKI KUU YA TANZANIA YAFIKIA TANI 28 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeongeza kwa kasi hifadhi yake ya dhahabu kupitia mpango wa ununuzi wa dhahabu nchini. Kufikia Julai 2026, BoT ilikuwa imenunua na kuhifadhi takribani tani 28 za dhahabu, zenye thamani ya takribani dola bilioni 3.68, sawa na Sh trilioni 9.76 kwa thamani ya wakati huo. Mpango huo unalenga kuongeza na kutofautisha akiba ya taifa ya fedha za kigeni, huku dhahabu ikiwa sehemu ya akiba rasmi ya nchi.
10
10
272
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Endeleeni kuwatambua askari kwa ukosefu wa ndevu. Hapa badge inatolewa na mkuu wa majeshi kwa ngumi ya kifua
51
94
2
1,454
165,322
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima. Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie afya njema, utulivu na uwezo wa kufanya mitihani yenu kwa umakini na kujiamini. Aidha, ninatoa wito kwa wote wenye dhamana ya kusimamia mitihani hii kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, umakini na uadilifu, na kuhakikisha mitihani inafanyika kwa haki, amani na usalama.
59
98
1
254
17,892
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Yule mtangazaji wa CROWN FM JUMA AYO hakumfanyia fea MANGUNGU jamaa alikua BIAS hakua mwandishi alikua Mtu aliyetumwa na Magori, hata Facial Expression yake alionekana kuwa na hasira na chuki dhidi ya Mangungu, ule sio utangazaji yani bila JEMEDARI hali ingekua mbaya zaidi.
1
3
1
10
9,326
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mambo matatu makamu wa Rais amewakumbusha; 1. Maria Sarungi ni Mzungu 😂 jaman cousin yangu umezidi 2. Swala la katiba mpya si swala geni kwa utawala wa Rais Samia hivyo watu waliokuwa kwenye sekta husika msicheleweshe barua mezani kwenu. 3. Katiba Mpya sio Katiba ya Warioba!! #katibamypa
12
17
3
28
12,252
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, Mawakili, wageni mbalimbali, kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 13 Julai, 2026.
3
20
40
3,788
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Watanzania wamkataa Maria na wanaomtuma kuchochea vurugu. Ufuatao ni mlolongo la maandamano yao ya hapa na pale 👉29/10/2025 yalibuma ❌ 👉09/12 /2025 yalibuma ❌ 👉25/12/2025 yalibuma ❌ 👉01/01/2026 yalibuma ❌ 👉07/07/2026 YAMEBUMA SANA ❌ Halafu mnasema eti maandamano yasiyo na kikomo. Haya leo vipi kuna maandamano yasiyo na kikomo? HAMNAGA AKILI #KigogoMediaUpdates
2
12
19
5,083
simpleetz™🇹🇿 retweeted
BADO HAMJASEMA📌 Tulipokuwa tunawaambia hamjui mambo mengi sana mlikuwa mnatuona hatuwatakii mema. Tukipokuwa tunawaambia Maria hajawahi kufanya kitu akafanikiwa kwenye maisha yake ya harakati hamkuwa mnasikia. Maria aka Panya Buku ndiye aliyesema Rais kakimbia nchi na ndiye aliyesema KMKM wamekuja Tanzania Bara kuuwa watu.. Haya mauongo yake ndiyo yamefanya mpaka account yake imefungwa kwa sababu anasambaza uongo na analeta taharuki Huyu hajaanza kusema haya leo. Alishasema kuwa mawaziri wamejificha kwenye bwalo la chakula pale Lugalo na JWTZ sijui wanajipanga kuchukua nchi😁 Kama mlikuwa hamjamjua tabia zake za uongo na kuropoka na kukurupuka mngetusikiliza na leo msingefika hapa mlipo sasa.. Ni ngumu sana kufanya harakati kama hamna vyanzo vya taarifa na ni upuuzi sana kuropokaropoka mambo msiyoyajua na mkaita hizo ni harakati . Mnapokuwa hivyo sasa haya ndiyo matokeo yake na sisi tuna furahi sanaa kuona mnaanza kupata akili na kujua ujinga wa hawa wanaojiita wanaharakati. Maandamano na vurugu zitaendelea kubuma kila siku kwa sababu wanachofanya ni kuchochea vurugu na uongo na wenyewe wamejificha Budapest na Nairobi. Watanzania hawataki maandamano na hawana haja ya maandamano wala sijui katiba blah blah.. Watanzania wanawaza mambo mengine kabisa yaani 😁 #KigogoMediaUpdates
1
10
21
9,663