Lema amenusa hatari lakini Heche ameamua kunusa uenyekiti wa CHADEMA kwa gharama ya Tundu Lissu kuendelea kukaa jela, Heche anatumia matatizo ya Lissu kutaka kufanya Mapinduzi dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Hatuwezi kusahau jinsi Dodoma ilivyokuwa pori, Asante sana Rais Samia Suluhu Hassan leo Dodoma ni jiji! Karibuni Mtumba. #KaribuMtumba
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mijitu mizima isiyo na wake ni shida sana
Kitendo cha kanisa katoliki kukusanya watu kanisani kwa kile walichosema ni kuwahifadhi halafu wakaaita wahuni na kuwachinja kinyama watu wale kilikua kitendo cha kikatili sana
Katoliki kuchochea ukatili ni jambo ka kawaida sana
Hivi ni nani aliewaambia kwamba leo kutakua na mabomu?
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Replying to @mangekimambi
@mangekimambi @MariaSTsehai @ChademaTZ2 @HecheJohn mmeona Watanzania halisi walivyo?? Hao ndo watanzania sasa ambao kazi kubwa ni kusikiliza na kupuuza, kukuaminisha kwamba tupo pamoja na wewe lakini kiuhalisia wanakung’onga kisogo…
Mmetumia kila aina ya utapeli na uongo kuwaaminisha kuwafanya watoke tena jana trh 29 lakini wamekataa ni kwasababu wamechagua Amani badala ya vita, busara badala ya matusi yaani hao ndo watanzania
Bila Shaka mmepata la kujifunza kutokea hapo mapambano yenu ya X, Instagram, TikTok huko kukesha live na wanaharakati uchwara mkaamini kabisa kwamba watu jana wangetoka ooh🤦🏿
Kanisa Katoliki halijaanza jana mjue na haliendeshwi na mihemko ya wanaharakati Kama ambavyo @ChademaTZ2 wamesahau Kama wao ni Chama cha siasa wana sera, ilani zao wamekubali kuwa Mbuzi wa Mange na Maria wanachotaka wao na wao ndo wanafanya 😀😀 misa imefanyika na hayajatokea mliyotaka yatokee pyee 😝😝
Tafuteni tu kazi za kufanya maana Hakuna Mtanzania anayeweza kuwasikiliza tena wakati nyie hata mlipo hamjulikani… Huyo bibi wa Taifa aendelee tu kulambaaa koni za wazungu na wewe endelea kuosha makalio ya wazungu 🤣🤣🤣🤣
Replying to @Advocate_Jebra
Wangetulia zao ndani wasingekufa ndo maana wewe upo hai mpaka leo.. dawa imewaingia mmefyata kimya mlifikili Tanzania ni shamba la Bibi yenu..
1
10
Replying to @mangekimambi
SAFI SANA HII NDO INAVYOTAKIWA YAAN WEMBE NI ULE ULE UNGETULIA ZAKO NYUMBANI WALA USINGEKUFA ILA MANGE UKAWADANGANYA VIJANA WA WATU ONA SASA VIJANA ULIOWATUMA WAMEKUFA WEWE UPO HAI UNAENDELEA KUHAMASISHA VIJANA WENGINE WAFE🗑🚮
37
Replying to @Gegedu_ @SuluhuSamia
Kwendraaaa zako alivyoambiwa atulie ndani alizani ni cinema? Moto ni moto nyie si mlichoma mali za Umma dawa ni kifo tu na mngejaribu tena jana 🤣🤣 ni wewe na familia yako yote maana imeshindwa kukukanya
10
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Dodoma ilitangazwa kuwa makao makuu miongo kadhaa iliyopita, lakini utekelezaji kamili umeonekana kwa kasi katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia, kuanzia Ikulu ya Chamwino hadi Mji wa Serikali Mtumba. Hii ni hadithi ya ahadi iliyogeuka kuwa kitendo kinachoonekana na⤵️
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Maskini Wanaharakati Wanatia Sana Huruma Leo Baada Ya Mipango Yao Kufeli,
Unawaamini Wa Tanzania Ni Sawa Na Kumdhami Shuka Mmasai 😂🫵
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Mamilioni ya wakatoliki wakiwa njiani jijini Arusha wakiwa wamepanda bodaboda na bajaji wakielekea kwenye Kanisa la FR KITIMA kushiriki Misa takatifu iliyotangazwa na itafanyika leo, hakika FR. KITIMA anapendwa hadi waumini wengi wanajitokeza hadi Kanisa linakaribia KUPASUKA
Replying to @Sisimizi3
Alafu ibada ya kuombea marehemu ipo moja tu Duniani ambayo ni Novemba 2 ni Siku ya Marehemu wote Duniani... sasa walishindwa nini kusubilia hiyo siku ya Novemba 2
2
365
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Kuna watu wanahisi nalibeza Kanisa Katoliki HAPANA mimi nina shida na FR Kitima, mzee analiingiza Kanisa kwenye siasa imagine Kashawishi Maaskofu wafanye ibada Alhamis ilhali sio siku ya Ibada, ibada maalum huwa zinafanyika Jumamosi na Siku za sikukuu kwenye Jumuiya na Parokia.
simpleetz™🇹🇿 retweeted
Yani eti nikae, nianze kuwakumbuka na kuwalilia hawa wezi wa mitungi ya gesi kmmke zao🚮




















