BOBU (@MagoigaS) header
BOBU (@MagoigaS) profile picture

| HR | |Aquarius🌊| |MUFC❤️| Nothing personal 🤗

Goga
Joined August 2018
Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)Photo by BOBU (@MagoigaS)
MLAWA WEWE NI MWIZI
CHEO CHA MAKAMU WA RAIS HAKITAKI KIHEREHERE KABISA MAKAMU WA RAIS ni cheo fulani hivi kimekaa kimegegomtego sana na kiukweli kinahitaji mtu mtulivu sana asiye na kiherehere kabisa na pengine mkomavu sana ili kuweza kufika mwisho kwa mafanikio na salama. CHEO cha Makamu Wa Rais kinakuwaga na umuhimu sana pale inapotokea kikatiba aliyekikalia analazimika kuwa Rais kwa sababu fulani fulani za ugonjwa au kifo cha Rais lakini zaidi ya hapo ni cheo kimoja cha kikuda sana na huwa ni cheo cha kutembea na mkasi kukatakata utepe na kutembelea tembelea wastaafu au kushinda makanisani au misikitini kuongea na wazee na mara chache sana kutumwatumwa na Rais anapokuwa kachoka kupanda midege basi anakupa na wewe nafasi uende ende nje huko ukasafishe macho. Cheo cha Makamu wa Rais siyo cheo cha utendaji kiuhalisia na hakitaki kabisa mtu mwenye mbwembwe nyiiingi maana kidogo tu ukizidisha mikogo na ujuaji tayari unamkwaza aliyeko juu yako kwa kuwa vyeo hivi vimekaribiana sanaa! Ndiyo maana jukumu kubwa sana la cheo hili ni kumshauri Rais wa nchi na kama hataki au hahitaji ushauri wako basi unakaa zako nyumbani na ofisini kungoja Jumapili kwenda kanisani au Ijumaa kwenda msikitini na kurudi nyumbani kupumzika. Kutokana na nature ya cheo hiki na majukumu yake ambayo hasa yanakuwaga ni kumshauri Rais ndiyo maana kwa asili utakuta wanaokalia kiti hiki mara nyingi wanakuwa wazee hivi kama ilivyokuwa kwa akina Dokta Bilal,Dokta Shein , Dokta Omar Juma, na hata Rais wetu wa sasa kipindi ni makamu wa Rais. Na majukumu yao wote ukiangalia hayakwenda mbali na nje ya mipaka yao ya kutembea na mikasi muda mwingi kwa ajili ya kukata utepe hapa na pale na kutembeleatembea wagonjwa na wazee na wastaafu. Wote hawa hawajawahi kuwa na mbwembwe zilizoletaga mgogano ndani ya serikali kwenye utendaji ndiyo maana waliweza kudumu na hawajawahi kuchanwa hadharani na mabosi zao juu ya mambo yao wanayofanya. Kwa kufanya hivi walijiepusha na mambo mengi sana ikiwemo kuaibisha taasisi ya urais kwa kauli ajabu ajabu. Mfano ni pale Makamu wa Rais alipoagiza bei ya sementi ishuke ndani ya siku 7 sijui. Vipi ilishuka? Watu walisikiliza wakadharau kwa maana waliona ni kauli ya mtu asiyejua anachoongea. Maagizo ya vijana wahitimu wa kutoka vyuoni wapewe ajira kwenye makampuni ndani ya wiki mbili, vipi walishaanza kuajiriwa? Prof Kitila anaweza kuwa na majibu maana aliagizwa yeye kule Arusha kwenye CEO Roundtable Forum. Kule Mbeya wale waliomdanganya makamu kuhusu barabara walishawekwa ndani au kule Lindi vipi TAKUKURU wamefikia wapi na uchunguzi wa ile kampuni ya Grade 7 kupewa kazi na haina uwezo? Haya sasa ndiyo mambo ambayo yanadogosha sana serikali na taasisi ya urais pale inapotokea sasa Makamu wa Rais anataka kufanya mambo ya kuji brand zaidi kuliko kufanya kazi ya kumshauri Rais. Huwezi kusikia kauli za hivi zingeweza kutolewa na wazee kama Dokta Bilal,Dokta Shein and Dokta Omar Juma (marehemu) kwa sababu ni watu wenye busara na hekima na wanapima kwa umakini sana kauli zao wakizitoa kwa kuwa wanajua kuwa wao ni washauri na wasaidizi wa Rais na kauli zao zikiwa za hovyo zina impact mpaka ofisi ya juu zaidi nchini kwa kuwa huko ndiko wanakotoka na waliko. Inawezekana uzee na hekima na busara visitazamwe kama vigezo vya mtu kuwa Makamu wa Rais na haviko kwenye katiba lakini ukweli ni kuwa sifa hizi zinachangia sana kupata msaidizi wa Rais mwenye utulivu na inasaidia sana kuepusha kukanyagana kunakoendelea sasa!. Makamu wa Rais ashauriwe kutumia muda mwingi kutembelea hawa wastaafu watamfundisha jinsi ya kuenenda kwenye nafasi hii kama anataka kufanikiwa. Kinyume chake hatafika mbali sana akiwa na mafanikio na zaidi ya yote bosi kaonyesha jana kutoridhishwa na mambo yanavyokwenda. WITO wetu ni kuwa fanyeni kazi kwenye mipaka yenu na acheni utoto wa kutaka kushangiliwa majukwaani kwa kauli za kikuda..! Kama hamjajifunza kwa yaliyompata Dokta Nchimbi basi hamtakuja kujifunza tena na mtang'olewa meno sasa hivi .. SHAURI ZENU📌 #KigogoMediaUpdates
20
Kwanza CCM hawahitaji wakujengee ndio waibe wao kuiba wanaiba bila hata miradi, mfano ukitoa kakiwanja ka Arusha huyu mama kafanya nini? Makonda pesa ya tours 500 aliiba kwenye mradi gani?
Unahisi wanaanzisha hiyo miradi kwasababu wanawapenda au wanataka waibe hela? 😂😂 Unajua wananunua na Matreni Used unajua?
1
57
Replying to @IamLyenda
Wao wana mmoja nyinyi hamna hata Mwenyekiti wa Mtaa 😆😆😆
35
He knew he wasn't there to serve the people 😅
This was the 1st red flag Ruto saw while seated, and we couldn't see it while standing and cheering Comparing William Ruto and Gachagua is like comparing day and night. God was giving us the signs, but we took too long to understand. Gachagua, from minute one, was aware that he would never follow and rule, or what he was told to do. Such a dictator. Are you happy that he was impeached to pave the way for sane Kenyans and the country's development?
24
Millennials mlikua mnapenda kusikiliza vipindi gani na haka ?
3
6
10
209
Nchi yangu Tanzania 😅 🙌
1
2
44
Kama wanaridhiana maana yake waliibiwa mpaka kura na kiongozi aliyepo ni haramu ndio wanaenda kuridhiana nae
69
Kenya kama bongo 🔥🔥🔥
There shall not be any political address given in any of our catholic churches in any part of the country - Archbishop Muheria
1
1
89
Swali la kijinga kuwahi kutokea
1
79
Tena ndio walikua wanamsema amekaa madarakani muda mrefu na kumuita mlevi wa konyagi
Wale walio Sema Mbowe ni Gaid Leo wana mtetea Wanasema ni mtu mzalendo 😂
66
You mean this way
I never knew about this either.. and it's a clean screenshot 👌
76
Kama davido katambulishwa kwa baba levo kama mbunge na jimbo analiita region atakua katushangaa sana
34
Si bora hiyo game of thrones nmeshindwa kumaliza episode mbili
Lakini Peaky Blinders hukuwa overrated, how comes nimeshindwa kumaliza season 1
1
88
Mwanza na Nairobi na dar na Nairobi wapi mbali?
Imagine Mtu Kutoka Mwanza Ana Connect Familia Na Kuketi Na Wakuu Juu Aisee!! Isaya Na Chivayo Waliwezaje🤔
1
2
5
209
Kinachowacost serikali ya ccm kwasasa ni kwamba Lissu washamfanya vitu vingi sana kiasi kwamba hahisi chochote tena mpaka wao sasa wanaanza kuogopa.
5
35
149
2,041
GO BECK TO YOUR COUNTRY
Dikidikini village in Eastern Cape, South Africa, doesn't have a bridge, so people cross the river inside a blue plastic drum!! This is so fkd up Writer: Ian
21
"strategic engagement" 😅
1
58
Hujui uchawa ni kutoboa siku hizi 😅
Replying to @Thommunkondya
😃mkuu mbona wewe ni comrade lakini mambo bila bila?
64
Kuna watu huku walikiri kuua raia 518 na bado wanazurura , wako ofisini na wanakula kodi za raia.
Habari za hivi Punde: Shakahola yamgharimu Mackenzie Soma Zaidi Hapa: bbc.in/4sIe5UG
31