mafoleee retweeted
🗣️PSG boss Luis Enrique thinks #Arsenal are one of the best teams in world football: “I think they are one of the best teams in Europe at the moment. With the ball they are a team very close to the top European level and without the ball they are also very good.
‘I would even say that they are one of the best teams in the world without the ball. They are a team with a real identity. We are similar but also have different styles of play.’
mafoleee retweeted
Kazi nzuri mama 🤝
"Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia
#UzinduziKitabuChaSokoine
#EastAfricaTV
mafoleee retweeted
Replying to @GilbertPaul95
Muda wake ni mchache sana ndo maana anavaa saa mbili ili awe na muda mwingi kidogo.
mafoleee retweeted
Tunapoamka kwenda kuianza siku hii mpya tusiache kumshukuru Mungu kwa kutulinda usiku mzima na kumuomba tena aendelee kutuweka chini ya ulinzi wake wa siku nzima ya leo kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Bwana Yesu apewe sifa. Amina 🙏
mafoleee retweeted
Ee Mungu Mwenyezi wa milele, ninakuomba, kwa ajili ya Damu ya thamani kuu, ambayo Mwanao Yesu, aliimwaga alipopigwa mijeledi kwa ukatili mkubwa, uziopoe roho zinazoteseka toharani, ili ziingie katika utukufu wako mbinguni kukusifu na kukuabudu daima na milele. Amina.
mafoleee retweeted
Bro nisikilize vizuri...
Kila mara unaporuhusu mtu akujue kwa undani, tambua ipo siku moja tu utakuja kujilaumu vibaya mno
Hizo taarifa chache unazompa mtu kuhusu wewe siku zitatumika kukuadhibu
Jifunze sana kuwa na koromeo!
mafoleee retweeted
Watu hua hawajui utofauti kati ya "elimu" na "maarifa" ndio maana wasomi wengi ni wajinga wajinga.
mafoleee retweeted
'Si kila jaribu unahitaji kugombana na shetani ila unahitaji kurudi kwa Mungu na kumuomba majaribu mengine ambayo hayakuwa katika ratiba yakae mbali kwasababu yatakusumbua tu.'
~Mwalimu Mwakasege
mafoleee retweeted
Hapa ndipo alipozikwa Prof. Friedrich Nietzsche, binadamu mwenye akili nyingi zaidi tangu dunia iumbwe. Inatukumbusha kuwa hata uwe genius kiasi gani, kaburi linasubiri kukumeza
mafoleee retweeted
Mungu ufanya na kuruhusu yote kwa makusudi yake mwenyewe
Zidisha sala
Kua mtu mzuri
Fanya kazi kwa bidii
Ukafanikiwe wikii hii mpya
Uwe na asubui njema na wiki yenye mafanikio kwenye Forex
Msemaji
mafoleee retweeted
😃😃😃
Godbless Lema is like: “Screw this! I ain’t a hypocrite!” 🤣🤣
Bora kaka @godbless_lema hujataka unafiki! Nakuelewa sana huyu jamaa hana jema! Wakuachee 🤣🤣
#TutaelewanaTu

























