
We are a collective of creators, and we speak different languages. #GengeLaWajenzi
Tanzania | Worldwide
Joined June 2019
- Tweets4.6K
- Following10
- Followers6.9K
- Likes3.3K
Panorama Authentik retweeted
Dizasta Vina's music will be studied in music writing schools for generations, artist hhatari yule
Panorama Authentik retweeted
Replying to @PanAuthentik @dizastavina
Gharama gani kwenye chakula ila wakati wa mapishi tunajua chenye thamani huwa chumvi🔥
Replying to @PanAuthentik @dizastavina
Na hii ni evidence kibaha mile moja, mimi ni 8 miles Eminem
Panorama Authentik retweeted
Gharama gani kwenye chakula, ila wakati
Wa mapishi tunajua chenye thamani huwa ni chumvi
Jumbe zinasafiri ka fununu
Tunu ya sentensi ya kikatili ka hukumu
Sumu wanajadili, ka kutano la siri
Mawakili wanakesha kunikabili ka jukumu....#Shaaban_Ngugi
@Kaa_Moto
Panorama Authentik retweeted
Hii kalamu ipo huru, nawakata-kata, Kalima
Kwa hii fasii ilojaa nuru, Allah, Rasulu, Madina
Nashukuru kwa hii zawadi,sitoikufuru, Karima
Naamini yeye ndiye mpaji,kanipa kipaji, Ngirima
Kuna siku nitasimamiwa,watu hawatashuka,sijida
Acha nifanye leo,hata kesho nikishuka, siji Dar
Panorama Authentik retweeted
We still on the Ep ..NDUGU WA MBALI EP...Barua kwenda Dar es Salaam lyrics out..
youtu.be/-Ec_aamoSeg?si=8nKA…
Panorama Authentik retweeted
Replying to @PanAuthentik
“Kesho nafasi ya kuanza upya, kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa”

























