CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize) profile picture

Tembea mwenyewe ili kupima uwezo wako wa kufika mbali ukiwa mwenyewe鈥| Christian鈥| TAC Member鈥| YDHHM Staff Member鈥|

Tanzania
Joined December 2021
Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 (@chakadize)
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Ili kufanikiwa, lazima uondoe vitu viwili: hofu ya kushindwa na tamaa ya matokeo ya haraka.
2
9
18
467
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kuna nyie ambao mna mazuri mengi kuliko mabaya, Na Kuna sisi ambao mabaya yetu yanafunika mpaka mazuri yetu. Lakini neema ya Mungu haijawahi kutuacha hata sekunde moja. 馃搶
2
1
7
225
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
UKIONA HII REPOST Nimetoka kuongea na Ofsa Kiduku hapa kwa urefu kidogo. Kwanza mwana anashukuru sana kwa Love Mliyoonyesha kwa kupaza Sauti, lakini pia kasema niwaambie kuhusu Afya yuko sawa na amedai kuna watu walikuwa wanaendelea ku show Love mpaka huko kituoni mwana anasema alikuwa anakula vizuri tu kwasababu ya U Familia wenu. 馃檹 Jambo lingine ambalo hakuniomba nililete ila mi nalileta kwenu baada ya mimi kumuomba akubali nililete ni hili. Mwana ametoka kwenye matatizo hana Simu na kwa bahati mbaya ilikuwa ni muda wa kodi umekaribia na hajafanya kazi wiki akatuomba kama wana tufanye linalowezekana apate kodi na simu. Ila tunajua kiume mwana ana changamoto zaidi ya hizo ila hawezi sema nikaona kidogo tutachochangia na wana tumchangie chochote kile maana kodi 600k na simu kwa biashara yake hawezi tumia kitochi lazima apate tambo. Mimi na Sativa tutachangia 300K iliyobaki wengine tunaweza changia kwenye hii namba ya Mtu wake wa karibu maana yeye hana laini wala simu. Namba 馃憞馃憞馃憞 0657523001 YAHSINTA CHUWA REPOST REPOST
89
906
50
1,590
244,967
Watu wengine huchagua kutembea peke yao, si kwa sababu wanapenda, bali kwa sababu usaliti uliwafundisha kuwa upweke ni salama zaidi kuliko kuzungukwa na uaminifu wa uongo
2
65
3
363
21,995
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kama unafanya jambo lolote kuboresha maisha yako, jivunie, haijalishi uko katika hatua gani..鉁嶏笍
2
5
5
423
Wakati mwingine unyenyekevu, uaminifu na wema wako unawafanya watu wafikiri wanaweza kukuchezea.
12
81
437
22,407
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Viongozi wetu, hawafikiri kuhusu Vijana wa nchi hii wasio kuwa na ajira, wasiokuwa na Ujuzi, wasiokuwa na Mitaji, Umaskini wa Vijana katika nchi yetu umepandwa kwasababu ya Sera Mbovu za nchi. Hakuna sera zinazogusa Vijana na Rasilimali zao za Asili. Tupiganie Mabadiliko.
1
2
6
162
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Ikiwa kifo hakina umri Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno bali kwa unyenyekevu kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
3
5
20
883
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
"Tunaweza kutofautiana katika fikra, mawazo au mitazamo lakini isiwe chanzo Cha kujengeana chuki "
2
5
184
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Sehemu ya kufanya maamuzi bora ni kutambua maamuzi mabaya uliyoyafanya mwanzo na jinsi gani yalikuwa mabaya.
16
71
2,151
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Ukitafuta mtu aliyekamilika utapoteza muda wako, wewe ni heri utafute mtu mwenye changamoto zilizondani ya uwezo wako.
9
56
2
333
7,524
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Usiogope kujaribu kitu kipya, maisha hukosa ladha mpya unapobaki ndani ya mipaka ya kile unachokijua tu.
27
90
2,953
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kuna mchongo tuliwahi kuukosa.. Tulipokuja kufatilia nyuma ya pazia nani amekwamisha.? Ilituumiza.. Rafiki yetu anayefahamu shida zetu, ndie hakutaka tupate nafasi.. YOTE MEMA馃檹馃ス
2
22
97
3,147
Watu wanaokuchukia wanaweza kushawishi watu wengine wakuchukie pia, Lakini habari njema ni kwamba hawawezi kumzuia MUNGU kukubariki.
9
57
1
319
16,378
Mjinga ni yule anayeweka matarajio makubwa kwa kuku wa kuchora atage mayai 馃槂
12
46
1
431
30,558
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kuna Bustani tuliiua, kwa sababu ya kumwagilia maji mengi tukidhani tunaistawisha...
2
3
21
952
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
What we lose in the fire, we will find in the ashes.
10
25
2
265
11,178
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Watu hubadilika na hawatoi taarifa. Ukikutana na mtu baada ya miaka mitano, kwa mfano, usimvamie kwa kuamini unamjua sana. Muda na matukio hubadisha watu.
10
74
2
307
10,845
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kumekucha tena tuendeleze injiri. Kanuni ni ile ile. TRUTH IS MEANT TO BE SAID, NOT TO BE SEEN.
31
41
2
377
16,119
CHAKADIZE JR馃嚭馃嚫 retweeted
Kimbia tamaa, Muombe Mungu akupe Afya na Nguvu Pamoja na Maarifa. Kufanikiwa na Kupata Fedha panahitaji Uvumilivu & tamaa Ina shusha Thamani ya Mtu.
1
2
40