_Daniel (@peter97daniel) header
_Daniel (@peter97daniel) profile picture

Football Predictions Tips ⚽️🏀 & Trust the Process

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2020
Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)Photo by _Daniel (@peter97daniel)
Manifesting Arsenal Fc to win UCL & EPL 2026/27 🤲🏿🤲🏿🕯🙏🏾
Manifesting Arsenal Fc to win EPL 2025/26🤲🏿🤲🏿🕯🙏🏾
1
2
5
1,590
_Daniel retweeted
Lyne Furniture & Interior Tunafanya Interior Decoration za aina zote, tunatengeneza Makabati ya kisasa, tunatengeneza furniture za aina zote.✨🔥 Tunafanya Site Visit kwa Gharama ya Mteja. 📍Tupo Sinza Africasana na Sinza Makaburini Call/Whatsapp +255783809061
3
18
18
253
Ikibidi kila tarehe 29 Oct tuwe tunawakumbuka ndugu zetu waliopoteza maisha kipindi hiki. Hakuna atakayewajali zaidi yetu✊🏽
29
178
5
553
11,467
Zab 41:1 (SUV) Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.
22
66
1,058
_Daniel retweeted
Kwa ndugu zetu, rafiki zetu waliopoteza maisha October 29, 2025, endelea kupumzika salama. The justice may be delayed but never denied🕊️🙏🏽❤️
23
25
361
Forever in our memories.. 🇹🇿
19
26
375
Huyu nae ni mchambuzi
Puyol, Maldim and Nesta were never this good, respect Chalobah and Fofana please.
1
64
_Daniel retweeted
Sisi hiphop, vitendo dhidi ya maneno, tumepiga chini kuSupport mafala wote waliohusika! Sio kuandika mitandaoni rip
1
1
1
2
57
_Daniel retweeted
This day last year, I didn’t do enough for myself and my people, But may those who died fighting for a better future for themselves and their loved ones rest in peace.
1
37
89
1,051
_Daniel retweeted
Siku mbaya sana Hii..🙌🏻
5
17
1
57
858
_Daniel retweeted
29th October siku nzito sana
16
21
276
Let’s be honest: Tangu mauaji ya Oktoba 29 yatokee, we have NEVER been better huku mtaani.
13
72
3
304
4,430
_Daniel retweeted
KUWAKUMBUKA WALIOUAWA NI KUKATAA KUZIKWA KWA UKWELI PAMOJA NAO. Kila uhai wa mwanadamu una thamani mbele za Mungu. Mtu anapouawa, si familia yake pekee inayopoteza; jamii nzima hupoteza sehemu ya utu wake. Ndiyo maana kuwakumbuka waliopoteza maisha yao si suala la hisia au siasa tu, bali pia ni wajibu wa kimaadili na wa kiroho. Kinachoumiza zaidi baada ya vifo si kifo chenyewe pekee, bali pia pale ukweli unapofunikwa, ushahidi unapopuuzwa, na wenye mamlaka wanapochagua kukanusha badala ya kutafuta ukweli. Mamlaka hayampi mtu haki ya kuamua ukweli; yanampa wajibu mkubwa zaidi wa kuutafuta, kuuheshimu na kuusema. Kibiblia, Mungu anauliza: “Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi” (Mwanzo 4:10). Hii inatukumbusha kwamba damu ya asiye na hatia si jambo linalopotea mbele za Mungu kwa sababu tu wanadamu wameamua kunyamaza. Kwa mtazamo wa Kikristo, kukanusha ukweli wa vifo, pale ukweli huo unapojulikana, si kosa la mawasiliano tu bali ni jeraha jingine kwa haki na kwa utu wa marehemu. Ukweli hauwi uongo kwa sababu umekataliwa na mwenye mamlaka, na haki haikomi kuwa haki kwa sababu imekuwa na gharama za kisiasa. Yesu alisema: “Mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru” (Yohana 8:32). Taifa haliwezi kuponya majeraha yake kwa kulazimisha kusahaulisha yaliyotokea. Uponyaji wa kweli huanza pale ukweli unapokubaliwa, wahanga wanapotambuliwa, na haki inapofuatwa bila upendeleo. Maana mbele ya Mungu, cheo si kinga dhidi ya ukweli, mamlaka si ruhusa ya kuunyamazisha, na kusahaulika kwa mhanga hakumaanishi kwamba haki yake imekoma kuwepo. “Jifunzeni kutenda mema; takeni haki; wasaidieni walioonewa.” (Isaya 1:17)
3
61
241
6,253
29/10/2025
1
21
1
40
550
_Daniel retweeted
29/Oct/2025 Hatutosahau my brother Masanga. Mwenyezi MUNGU akupunguzie adhabu ya kifo.🕊️🕊️
38
263
9
662
27,185
_Daniel retweeted
29/10/2026. One year down tangu wanetu, washkaji, mama zetu na washua wetu watangulie mbele za haki dua zetu ziko nanyi huko mliko. Endeleeni kupumzika kwa amani🙏🏿 Daima tutawakumbuka.
13
106
241
2,519
_Daniel retweeted
29/10 🕯️WAENDELEE KUPUMZIKA KWA AMANI MASHUJAAA WETUU 💔🕊️
23
232
667
5,548
RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UWANGAZIE ROHO ZA MAREHEMU WOTE WAPUMZIKE KWA AMANI 🕊️🕊️ – at Dar es Salaam, Tanzania
16
142
446
4,200
_Daniel retweeted
We will never forget 29.10.2025 💔🕯️🕯️ 🕊️
1
1
38
_Daniel retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️ Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts. May your souls rest in eternal peace. We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
14
225
491
4,119
We will never forget 29.10.2025 💔🕯️🕯️ 🕊️
1
1
38