๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind) header
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind) profile picture

๐˜ผ๐˜พ๐™๐™„๐™‘๐™„๐™Ž๐™ / (๐™Š๐™ฃ๐™ก๐™ฎ ๐™›๐™ง๐™š๐™š๐™™๐™ค๐™ข ๐™–๐™ฃ๐™™ ๐™ฅ๐™ค๐™จ๐™ž๐™ฉ๐™ž๐™ซ๐™ž๐™ฉ๐™ฎ ๐™›๐™ก๐™ค๐™ฌ ๐™ฉ๐™๐™ง๐™ค๐™ช๐™œ๐™ ๐™ข๐™ฎ ๐™ซ๐™š๐™ž๐™ฃ๐™จ) TUMEVUKA THE RED SEA NA TUNDULISSU NA J.HECHE

Freedom and Justice
Joined January 2013
Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)Photo by ๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค (@ThinkBigmind)
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Jamani, hivi, MARIDHIANO yanahusu nini? ๐Ÿ‘‡
35
132
4
768
29,912
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
โ€œTunapitia kipindi kigumu lakini Uongozi wenu uko Imaraโ€ฆโ€-; Mhe. @HecheJohn
8
161
3
740
18,376
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Makam Mhe. @hechejohn kapiga kwenye mshono mbichi.
2
212
3
1,230
43,938
Free TWAHA, inaumiza na inasikitisha kuona vijana wanatekwa kisa tamaa za madaraka ya watu wengine. @HecheJohn tusiruhusu kondoo wetu wapotee, hili swala wanalifanya BUSINESS AS USUAL. Maandamano nchi nzima kutetea mwana kondoo huyu na ujinga huu utakoma. #FreeTwahaMwaipaya
2
463
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Watanzania hali ni tete. Pole sana @TunduALissu
249
654
29
3,748
476,760
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Mzee @freemanmbowetz Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL? Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako? Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui? Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema โ€œmradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumiโ€. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI? Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni โ€˜mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa โ€˜ustaafuโ€™ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma. Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya. Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI. Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM. Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI? Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu. Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha โ€˜solidarityโ€™ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa. Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa? Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
394
634
68
2,274
275,041
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
KATAMBI, acha kutufokea. Tupatie uthibitisho wa kisheria. Tuonyeshe ni ibara gani ya Katiba au sheria gani inayokupa mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Kama katazo lenu ni halali, thibitisheni hilo kwa kutaja vifungu vya sheria. Taifa hili linatakiwa kuongozwa kwa misingi ya sheria na Katiba, na si kwa mabavu au utawala wa kiimla.
17
160
1
869
25,091
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
โ€ผ๏ธ๐ŸšจANGELA KIZIGHA - CONFLICT OF INTEREST KAMATI YA BUNGEโ€ผ๏ธ Hawa wauaji wanatuona wajinga kabisa? Leo mkandarasi wa JWTZ ambaye ametuhumiwa na ufisadi na kuingiza bidhaa zilizo chini ya viwango mnaenda kumweka kamati ya Ulinzi bungeni??? Yaani ye anapitisha bajeti ambayo anaenda kulipwa kama supplier alafu ni mshauri wa Samia huko Ikulu! Acheni dharau! Huyu atolewe mara moja kwenye hiyo kamati ๐Ÿšฎ Na nyie CCM mliopo huko mkijiita wabunge mnakubali genge la majambazi wa kike wakufuru? Wanajeshi msilalamike tu DM - hii sasa ni zaidi ya dharau kwenu! Kulalamika mtuachie sisi raia atiii! Nikiwaambia #SamiaMustGo muwe mnanielewa! #TutaelewanaTu
20
107
1
502
40,169
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nyweleโ€ฆSitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURUโœŒ๐ŸพโœŒ๐Ÿพ #LiMwenyekiti #KatibaMpya #FREELISSU
151
693
20
4,249
103,480
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Imagine tuwe na vijana wasio na uoga kama hawa 30m, nchi ingekuwa mbali. Wakuu wanajuta kuhudhuria huu msiba, wameenda kula za uso bila gloves.
8
85
1
491
21,484
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
NB: Matako yenu.
23
54
9
318
20,404
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Tuwapongeze sana WAKATOLIKI kwa upgrade, hakika kuna mabadiliko makubwa toka tulipowaona mara ya mwisho. Tuwakumbushe kuwa kwa kawaida wakatoliki huwa hawabebi biblia, kitabu chao maarufu kinaitwa MISALE YA WAUMINI. Kila la heri!
151
49
31
334
32,661
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Samia is a bloody killer criminal.
3
67
1
516
13,501
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Mengine yote siyo mambo ambayo yangenishtua. Nilitarajia kuyasikia. Lakini kitu sikutarajia kusikia akisema ni kwamba nguvu iliyotumika kupambana waandamanaji inaendana na tukio husika. Kwa kauli hiyo, mauaji yalikuwa sahihi na hakuna uwajibikaji kwa waliotoa amri na kutekeleza.
68
330
3
2,181
36,515
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Itโ€™s already a big newโ€™s Keep tagging meta folks , this is Injustice Repost 908 @Meta
137
1,374
31
2,897
69,638
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani. Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. Theyโ€™re so desperate. Learn or perish
Replying to @fredkavishe
Freddy hakuna sehemu nimesema wamelipia maandamano, I was trying kuelezea kuwa hizi fund zipo kila mwaka so tusiambiwe zimetoka kwa ajili ya maandamano..uko sahihi kabisa zinatolewa Kwa taasisi mbali mbali.. Watu wamejaribu kuipindisha kulingana na wanavyotaka wao
92
170
9
1,000
88,052
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Not ONE civilian killed in Guinea Bissau today. How many people died in Tanzania over an โ€œelectionโ€
84
2,323
45
9,558
126,974
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
Mmechagua maandamano ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Swali ni tarehe! Huko DM nimeona Dec 9 na wengine wanasema Desemba 9 ni mbali na tutapoa, wanataka kabla ya Dec 9 Weka kura yako ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ Maandamano inayofuata iwe
71%Desemba 9
23%Kabla ya Dec 9
6%Nyingine (eleza)
13,824 votes โ€ข Final results
164
190
7
1,085
91,247
๐™๐™๐™ž๐™ฃ๐™  ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐Ÿค retweeted
So Sad.
138
360
69
977
99,869