
๐ผ๐พ๐๐๐๐๐๐ / (๐๐ฃ๐ก๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐๐ฃ๐ ๐ฅ๐ค๐จ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐ฎ ๐๐ก๐ค๐ฌ ๐ฉ๐๐ง๐ค๐ช๐๐ ๐ข๐ฎ ๐ซ๐๐๐ฃ๐จ) TUMEVUKA THE RED SEA NA TUNDULISSU NA J.HECHE
Freedom and Justice
Joined January 2013
- Tweets55K
- Following5.9K
- Followers13.7K
- Likes145K
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
โTunapitia kipindi kigumu lakini Uongozi wenu uko Imaraโฆโ-; Mhe. @HecheJohn
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Mzee @freemanmbowetz
Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi
Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi
Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM
Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL?
Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako?
Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui?
Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema โmradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumiโ. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI?
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni โmjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa โustaafuโ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM
Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels
Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma.
Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya.
Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI.
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM.
Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI?
Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu.
Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha โsolidarityโ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa
Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa.
Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA
Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa?
Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
KATAMBI, acha kutufokea. Tupatie uthibitisho wa kisheria. Tuonyeshe ni ibara gani ya Katiba au sheria gani inayokupa mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Kama katazo lenu ni halali, thibitisheni hilo kwa kutaja vifungu vya sheria. Taifa hili linatakiwa kuongozwa kwa misingi ya sheria na Katiba, na si kwa mabavu au utawala wa kiimla.
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
โผ๏ธ๐จANGELA KIZIGHA - CONFLICT OF INTEREST KAMATI YA BUNGEโผ๏ธ
Hawa wauaji wanatuona wajinga kabisa? Leo mkandarasi wa JWTZ ambaye ametuhumiwa na ufisadi na kuingiza bidhaa zilizo chini ya viwango mnaenda kumweka kamati ya Ulinzi bungeni???
Yaani ye anapitisha bajeti ambayo anaenda kulipwa kama supplier alafu ni mshauri wa Samia huko Ikulu!
Acheni dharau! Huyu atolewe mara moja kwenye hiyo kamati ๐ฎ
Na nyie CCM mliopo huko mkijiita wabunge mnakubali genge la majambazi wa kike wakufuru?
Wanajeshi msilalamike tu DM - hii sasa ni zaidi ya dharau kwenu! Kulalamika mtuachie sisi raia atiii!
Nikiwaambia #SamiaMustGo muwe mnanielewa!
#TutaelewanaTu
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nyweleโฆSitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURUโ๐พโ๐พ
#LiMwenyekiti
#KatibaMpya
#FREELISSU
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Imagine tuwe na vijana wasio na uoga kama hawa 30m, nchi ingekuwa mbali.
Wakuu wanajuta kuhudhuria huu msiba, wameenda kula za uso bila gloves.
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Tuwapongeze sana WAKATOLIKI kwa upgrade, hakika kuna mabadiliko makubwa toka tulipowaona mara ya mwisho.
Tuwakumbushe kuwa kwa kawaida wakatoliki huwa hawabebi biblia, kitabu chao maarufu kinaitwa MISALE YA WAUMINI.
Kila la heri!
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Mengine yote siyo mambo ambayo yangenishtua. Nilitarajia kuyasikia. Lakini kitu sikutarajia kusikia akisema ni kwamba nguvu iliyotumika kupambana waandamanaji inaendana na tukio husika. Kwa kauli hiyo, mauaji yalikuwa sahihi na hakuna uwajibikaji kwa waliotoa amri na kutekeleza.
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Itโs already a big newโs
Keep tagging meta folks , this is Injustice
Repost 908 @Meta
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani.
Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. Theyโre so desperate.
Learn or perish
Replying to @fredkavishe
Freddy hakuna sehemu nimesema wamelipia maandamano, I was trying kuelezea kuwa hizi fund zipo kila mwaka so tusiambiwe zimetoka kwa ajili ya maandamano..uko sahihi kabisa zinatolewa Kwa taasisi mbali mbali.. Watu wamejaribu kuipindisha kulingana na wanavyotaka wao
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Not ONE civilian killed in Guinea Bissau today. How many people died in Tanzania over an โelectionโ
๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
Mmechagua maandamano ๐ช๐ฝ๐น๐ฟ
Swali ni tarehe! Huko DM nimeona Dec 9 na wengine wanasema Desemba 9 ni mbali na tutapoa, wanataka kabla ya Dec 9
Weka kura yako ๐๐พ
Maandamano inayofuata iwe
71%Desemba 9
23%Kabla ya Dec 9
6%Nyingine (eleza)
13,824 votes โข Final results ๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฝ๐๐ ๐ค retweeted
โผ๏ธ๐จGEORGE BAGYEMU PHYSICALLY THREATENED HECHEโS MOTHER AND ASSAULTED HECHEโS BROTHERโผ๏ธ
Deputy Zonal Criminal Officer for Dar and one of the top culrptits on #Tanzania ICC list has today reportedly assaulted @HecheJohn โs brother and threatened to physically beat their mother for asking him where Heche is!
Hivi kweli George we unaona sawa kutishia kumpiga mama yake Heche? Yaani mwanaume mzima unapambana na wanawake tena bibi wa miaka 80+
Huna mama, dada, mke?
Acha hiyo kabisa! Kama mna kesi pelekeni ila kutisha, kupiga kutesa sasa basi!
Ila uwajibikaji umekaribia ungejipanga
#TutaelewanaTu #TanzaniaMassacre #SaveTanzania




















